Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Nilitokea kupenda martial arts kwasababu ya nidhamu binafsi unayojijengea kutokana na Mafunzo, ila wengi sana leo hii wamebadili sana kusudi la kujifunza hii michezo na kuitumia kama sehemu ya kujisifia ili waogopeke, wizi na ukabaji.

Unakutana na mwalimu anaweza practically ila principles hazijui na haoni tatizo kumfundisha mtu yeyote.

True martial artist hawezi kubali kiurahisi kukufundisha moja kwa moja.

Ulimwengu umebadilika, ukitaka kufaidi hii michezo vizuri soma sana na vitabu vya zamani zinazoelezea falsafa ya martial arts kiujumla na vitabu vinavyoelezea chimbuko la michezo hiyo utagundua martial arts ni zaidi ya kupigana physically.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maaana ikaitwa Elimu kutoka biggner mpaka 10dan (degree)
 
Kuna cream inaitwa Kennite cream...naonaga wanaitangaza Instagram... MFOLLOW mwanamama anaitwa Director Joan
 
KWA UANDISHI WAKO TU UNAONESHA HUJUI LOLOTE.TENA KILAZA ILA UNASIMULIWA SIMULIWA NA KUJA KUJAZA SERVER HAPA KUTUSUMBUA WENYE AKILI.

 
mkuu mchezo ulioexpertise sio mgumu wala hauko complicated.....mimi nacheza wing chun kiukweli mchezo ni mtamu sana......wala huwezi linganisha na mingi katika upande huu wa martial arts....jaribu kuingia ndani utafute kitabu cha siu lim tao...hata amazon kinauzwa ndo utajua hujui...
 

Attachments

  • 19956311_1480989275273096_2592950392230133980_o.png
    117.3 KB · Views: 2
pa kujifunzia wapi hayo yote mkuu.!?...
 
MOVIE ZA KIHINDI ZIMEKUHARIBU SANA. HALAFU KWA AKILI YAKO YA UJAZO WA KIJIKO CHA CHAI UMESHINDWA TOFAUTISHA UHALISIA NA MAIGIZO.

Unapigwa tu,,,, Cha Moto inategemea mtumiaji ana uharaka kias gani katika kushoot na mpiga wa pigo la karate ana uharaka kias gani na umbali gani
 
Hizo mambo mnajitunza ni utopolo tu.
Anayetaka aje nimfunze ile tuna train Special elite tu jeshini kwa wanajeshi maalum.
Uwe na uwezo wa kutunza siri lkn kabla ya kukutrain tutakuchunguza sana zaidi ya miezi 6 uwe chini ya miaka 25
 
Umeshatuambia hakuna usichokijua juu ya karate, unachoshauriwa ni kuondoa sugu kwa kuvaa gloves au piga push ups zako juu ya sponge ili usitengeneze usugu. Vingine unavyoeleza ni mbwembwe.
 
Chukua maji bandika jikoni, yakianza kuchemka sweka mikono yako kwa dk kumi kisha toa kisha sugua na maganda ya limao au ndimu, hivyo vipodozi ukianza kutumia utarudi tena kutuomba ushauri
Waiter niletee ya moto , Watu tunamikanda yetu hatuna sugu wala nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…