Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Sasa ulianzaje kumpenda mtu ambae hata hujakutana nae
Hapa sikuwa nimempenda mkuu, lengo ilikuwa ni kumpata kutokana na sifa zake ambazo nilizipata kwa Deo ila baada ya kumuona ndipo nilipouzamisha moyo kwake, hadi leo sijawahi kumpenda/kumwelewa mwanamke kwa kiwango nilichompenda huyu dem.
 
Hauna baya tajiri 😹😹

Ila ni Rahma au Laima?

Au basi tuendelee hivyo hivyo muhimu chai inanyweka 😹
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…