Habari wakuu,nimeona nishare nanyi yaliyonikuta mwenzenu, Nilikuwa na mchumba wangu niliyempenda sana ila yeya alinitamani kwa mujibu wake,nikiwa kama binti ninaejua umuhimu wa kusaidia wengine Mungu kanijalia roho ya utoaji,kwa wale waliokaribu nami wa kiume na wakike,na hii imenifanya niwe na marafiki wengi ambao tunasaidiana katika mambo mengi.
Ishu iko hapa,mchumba wangu huyu tumesaidiana katika mambo mengi ila sio ya kifedha kwa upande wake na sikumbuki kama aliwahi kunipa hata mia,nilimpenda sana na kumwombea kama mume wangu,kwa bahati mbaya sikujua kumbe nimetamaniwa.
Sikumoja alipoteza simu na hii ni kwa mujibu wake akiwa kwenye bodaboda