Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Kichwa tu nimeshajua itaishia vipi si unajua bongo muvi tena
Haa haaa haa! unajua mwisho wa movie kabla ya mwanzo wake
Kichwa tu nimeshajua itaishia vipi si unajua bongo muvi tena
Habari wakuu,nimeona nishare nanyi yaliyonikuta mwenzenu, Nilikuwa na mchumba wangu niliyempenda sana ila yeya alinitamani kwa mujibu wake,nikiwa kama binti ninaejua umuhimu wa kusaidia wengine Mungu kanijalia roho ya utoaji,kwa wale waliokaribu nami wa kiume na wakike,na hii imenifanya niwe na marafiki wengi ambao tunasaidiana katika mambo mengi.
Ishu iko hapa,mchumba wangu huyu tumesaidiana katika mambo mengi ila sio ya kifedha kwa upande wake na sikumbuki kama aliwahi kunipa hata mia,nilimpenda sana na kumwombea kama mume wangu,kwa bahati mbaya sikujua kumbe nimetamaniwa.
Sikumoja alipoteza simu na hii ni kwa mujibu wake akiwa kwenye bodaboda
madhara ya kuanzisha thread huku unabwia viroba
itandelea week ijayo, stay tuned
Itaendelea????
Au ndio unatafuta simu yako2
Inaelekea alishakuchoka alikuwa anakutafutia kisababu
Huyu lazima wakati anaandika alishachomwa sindano ya nusu kaputi ngoja akizinduka atamalizia.
Hadithi yangu imeisha......mpigieni makofi......
We umeelewa aliachwaje? au ndo umesoma kichwa cha habari tu, ukaconclude
sidhani kama ni kweli maana nilionana na shem yaani kaka yake hakuamini kama naweza kuwa na mdogo wake yaani wote wako desperate about money