Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,500
- 6,458
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja, Mtu alikuwa ni mwanachama wa uchangiaji katika mfuko wa Nssf na alikuwa ameajiriwa katika sekta binafsi na katika kazi ambayo ni non-skilled labor or non-proffesional job
Na ana michango yake ya zaidi ya miezi 20,ila kwasababu zilizopo nje ya uwezo wake alishindwa kuendelea na kazi na alikosa hata muda wa kuomba kuachishwa kazi kazini kwake ili aweze kupewa termination letter itakayomsaidia kwenda kuchukua mafao yake nssf
Ila baada ya miaka 2 kupita ndo anahitaji kwenda kuchukua mafao yake huko nssf.
Ni aina gani ya mafao ambayo anapaswa kwenda kuchukua na anapaswa kufuata utaratibu upi?