Nilham......where ya at!

mpaka mupenzi arudi itaendelea mie pia nala cornner....

haya dear maana nilienda kukusanya data zote..
si wajua mie ndo Guardian Enjoy wake
hahaah lol
ilikuwa nimpe ngumu kwanza
halafu nitoe ushahidi wote..
ndo hapo na mie nikupigie goti nimsaidie kuuombea msamaha
hahahahahlol

TF yuko wapi na yeye maana angeona hii thread angefurahi sana
 
Dedication to Hashycool.....

I will always love you.

If I should stay,
I would only be in your way.
So I'll go, but I know
I'll think of you ev'ry step of the way.

And I will always love you.
I will always love you.
You, my darling you. Hmm.

Bittersweet memories
that is all I'm taking with me.
So, goodbye. Please, don't cry.
We both know I'm not what you, you need.

And I will always love you.
I will always love you.

(Instrumental solo)

I hope life treats you kind
And I hope you have all you've dreamed of.
And I wish to you, joy and happiness.
But above all this, I wish you love.

And I will always love you.
I will always love you.
I will always love you.
I will always love you.
I will always love you.
I, I will always love you.

You, darling, I love you.
Ooh, I'll always, I'll always love you.

With love,Michelle

ooohh dear
kuna thread nimeiandaa
na huu wimbo ni upo humo..
this is my favorite song all the time lol
hahahahah lol

ntaubadilisha sasa lol:sick:
 
jamani naomba kumsemea kwa ajili ni one soul kwa sasa ... huwa sisamehi kitu mimi bila sababu muhimu.....nilivyoongea nae hashy na kumhoji kiundani zaidi kuhusu na michelle itakuwaje na ye keshanza nae....akanambia ye hakuanza nae na ndio maana kaja kuapolagize yeye alitumia kaama utani kwa michelle... alipokujashtuka michelle kashika kasi na mi ndio akawa keshanidondosha .... sasa hakuelewa kwakweli kulikuwa kwaendelea nini? sasa hiyo kusema mumpe jina la heart breaker si dhani kama itakuwa sahihi wallah ... :A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Naona wote we na Hashy ni wababaishaji/mnatuzingua wacha tuwapotezee tu.
 
mi nikuulize wewe habibty kuna siku alinilalamikia hapa akasema katiliwa chai ya tangawizi na afrodenzi lakini isije ikawa libwat....heheheheh nikaachia kicheko mpaka watu wakanishangaa... sasa imekuwaje tena hujui aliko mwenzangu au chai imemkaa kichwani bado haijesha alinambia ngoja nitazamie mpaka jioni nione matokeo... tangu siku hiyo sikumuona teeena... kulikoni kwani??
haya dear maana nilienda kukusanya data zote..
si wajua mie ndo Guardian Enjoy wake
hahaah lol
ilikuwa nimpe ngumu kwanza
halafu nitoe ushahidi wote..
ndo hapo na mie nikupigie goti nimsaidie kuuombea msamaha
hahahahahlol

TF yuko wapi na yeye maana angeona hii thread angefurahi sana
 
jamani naomba kumsemea kwa ajili ni one soul kwa sasa ... huwa sisamehi kitu mimi bila sababu muhimu.....nilivyoongea nae hashy na kumhoji kiundani zaidi kuhusu na michelle itakuwaje na ye keshanza nae....akanambia ye hakuanza nae na ndio maana kaja kuapolagize yeye alitumia kaama utani kwa michelle... alipokujashtuka michelle kashika kasi na mi ndio akawa keshanidondosha .... sasa hakuelewa kwakweli kulikuwa kwaendelea nini? sasa hiyo kusema mumpe jina la heart breaker si dhani kama itakuwa sahihi wallah ... :A S thumbs_down::A S thumbs_down:

Tell him to forgive me for thinking ahead and on behalf of him.....sitaki kurudi nyuma kuzungumzia ukweli,kama huo ndo ukweli alosema Hashy kwako,basi na iwe salama.......

Trust me,am not stupid,we knew what we were doing,but it was a wrong move from the beginning,and i knew the end will hurt me the most but i respected my heart......its over now...please stop blaming me.....am human.....

Naona wote we na Hashy ni wababaishaji/mnatuzingua wacha tuwapotezee tu.

uporoto1, mi hashycool namjua vizuri sana, jamaa ni genius balaa kaona mbali na ameshazisoma akili za warembo wake.
Haachi permenent hata mrembo mmoja hapo, atakacho kifanya ni kama Rostama Aziza alivyoziweka kiganjani akili za wakuu wa inchi hii
Subiri muda upite uone next step ya huyu genius man, utakumbuka haya maneno yangu
 
mie naona kasha pata PREMIUM HEART BREAKER (PHB) hahahah lol

Hata hapo atapapita kabisa na kuwa JF Mod GHM

Anyway AD umenikosha sana mpenzi kwa kukumbuka avatar zangu nilizopata kutumia hapa JF, umenifanya nikufikirie mbali sana
 
Acha nicheze kichwa mie na washikaji zangu hapa maana hili shairi mmmm
trekfunny.gif
Ahahahahaaaaaaaah!!! JF bwana haiishi vituko.
 
uporoto1, mi hashycool namjua vizuri sana, jamaa ni genius balaa kaona mbali na ameshazisoma akili za warembo wake.
Haachi permenent hata mrembo mmoja hapo, atakacho kifanya ni kama Rostama Aziza alivyoziweka kiganjani akili za wakuu wa inchi hii
Subiri muda upite uone next step ya huyu genius man, utakumbuka haya maneno yangu
Ikitokea hili itathibitisha wasiwasi wangu wa muda kuwa kuna watu humu wanatumia ID zaidi ya moja.
 
Ikitokea hili itathibitisha wasiwasi wangu wa muda kuwa kuna watu humu wanatumia ID zaidi ya moja.

Comrade uporoto1, mimi naweza kukutajia majina ya watu wa4 ambao ni CONFIRMED wana zaidi ya ID moja, sema basi tu it is prohibited to list pipos name here
 
Kama chozi ni muhimu utahadaiwa masikini
Kuna watu kama kina kanumba hawalii moyoni
wakishapata watakacho wanakutosa sanii

Hashycool kastuka kuona Nilham namchombeza
Ameona zangu tungo tamu zenye kubembeleza
Akaja anzisha uzi akashindwa kujikaza
Akaamua kuandika kizungu kiswahili kukibeza
Hajuja bint Rashed lugha anaiendeleza
Ndio maana hakujibu kimya akanyamaza.

Ngoja nisiendelee maana kule kwenye magreat thinker nimekujibu mistari wewe na nilham mmeingia mitini nisije nikawafukuza hapa bure mpaka muanzisha mada akaingia mitini maana yeye yumo kwenye list kachungulia akatoka nduki!

Mpe habari kuwa umefichwa
Muumize moyo na kimuume kichwa

Mjuze upo bize na bwana kumliwaza
Hupati hata wasaa habari kutujuza

Hivi sasa ametoka ameenda kwenye baraza
Atakaporudi nyumbani..............................

Ngoja nikanywe chai naona kichwa kizito sasa

kaka kulikoni?
 
kaka kulikoni?

mmmmhhhh ndo umeona tu yeye wa kumjibu??? salama lakini,mbona hivi tena??? si tungeagana tu jamani uende salama ndo nini kuja kunianika mtoto wa mwenzio huku.........:A S 20::A S 20::A S 20:
 
Hata hapo atapapita kabisa na kuwa JF Mod GHM

Anyway AD umenikosha sana mpenzi kwa kukumbuka avatar zangu nilizopata kutumia hapa JF, umenifanya nikufikirie mbali sana

  1. Ninja
  2. Mr.Ben kafunikwa uso na ****
  3. kichwa/vichwa
  4. miguu ya kutisha
  5. Ban kila mtu
  6. sasa naona umeniwekea cartoon ya hatari

hahahahaha lol sina uhakika na ya tatu my dear unisamehe bure..:A S 20:
eehh nausubiri zawadi zagu maana nakumbuka tangu siku ya kwanza nilipokupokea my dear hahahah lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom