Nilham......where ya at!

Sasa mbona umemchinjia baharini??au picha inapeleka ujumbe mapema kuliko mistari aliyoishusha??Mimi chakuongezea sina!
 
Sasa mbona umemchinjia baharini??au picha inapeleka ujumbe mapema kuliko mistari aliyoishusha??Mimi chakuongezea sina!

.......l.o.l....sema kitu bana kaka kiiza.......kaka nimeoza vibaya kwa huyu mtoto!...l.o.l
 
mi nilisema wakabisha, check sasa mrembo alivyojikabidhi kwa genius bila masharti wala ubishi . . . .

chek sasa mke mwenza atakavyokuja juu ka moto wa kifuu
 
hehehhehhh alisha anza kula tangu mwanzo....ashindwe kumalizia....hebu tulio na mke mwenza yupi huyo ??? nnavyojua ni peke yake kwake..hehehehh yule nimjuae mie alipigwa joke tuu...hehehehehh usiturudishe nyuma cpu loll... hebu tuombee dua huko..
kula baba . . . . kulaaaaaaa
 
mi nilisema wakabisha, check sasa mrembo alivyojikabidhi kwa genius bila masharti wala ubishi . . . .

chek sasa mke mwenza atakavyokuja juu ka moto wa kifuu

Nilipigwa joke bwana.......mi sikuwa mke.........mke ni Nilham........:coffee:
 
Duuuh . . . . haya maigizo balaa :sick:

ha ha ha haaaaaaaa,ndo maisha CPU.......:bump:mwenye mume wake keshasema,wataka mie nifanye nini???yanini malumbano,watu washapendana,sina budi kukaa kando wafurahie mapenzi yao ati:msela:
 
cpu waonyesha wewe ni mfatiliaji mzuri sana wa maigizo eee??? inshallah nikishaandaa kamili nitakujulisha...

Hahaahahah anyway napenda maigizo, ila sasa kuangalia maigizo ya kimahusiano ya mapenzi sharti niangalie na wakubwa wenzangu. Naikumbuka sana DAYS OF OUR LIVES na yale maigizo ya Bint Kasri wa kule kenya kama maigizo ya kwanza kabisa kuyapenda
 
mi nilisema wakabisha, check sasa mrembo alivyojikabidhi kwa genius bila masharti wala ubishi . . . .

chek sasa mke mwenza atakavyokuja juu ka moto wa kifuu

cpu....bana!
 
hehehhehhh alisha anza kula tangu mwanzo....ashindwe kumalizia....hebu tulio na mke mwenza yupi huyo ??? nnavyojua ni peke yake kwake..hehehehh yule nimjuae mie alipigwa joke tuu...hehehehehh usiturudishe nyuma cpu loll... hebu tuombee dua huko..

Moyo wangu unauma mimi ndie nilieanza kukuchombeza
Kikakupa tahadhari machozi si kupenda
Leo iweje uwe unamchombeza?
Sina tena hamu jamvi kuliendeleza
Naona tabu nataku kudekezwa
Sema watania msije kunipoteza :A S 20::A S 20:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom