Nilhaam yu wapi?

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Hasikiki huyu mwenzetu takriban wiki sasa, yu wapi au mabomu yamemsibu?
Tujuzane!
 
huyu bibie aliaga kwamba anatarajia kupata matibabu ya operation...sijui kama kuna mtu wa karibu yake aliye na taarifa za operation yake atujuze
 
mi mwenyewe nimejiuliza yu wapi,wiki sasa sijamuona....i hope she is well....mwenye details atupe....miss you Nilham!
 
nipo wapenzi wangu .... nawamiss tu wallah huwa nachungulia tuu jf then nafunga time imekuwa ndogo wallah...maana waona siku yesha ulichokifanya hakijulikani,,heheheh ... lakini inshallah tuko pamoja,,,shukran...
 
Oh shukran umesikika, walau tumetulia wadau.
Umebanwa eeh..!
 
nipo wapenzi wangu .... nawamiss tu wallah huwa nachungulia tuu jf then nafunga time imekuwa ndogo wallah...maana waona siku yesha ulichokifanya hakijulikani,,heheheh ... lakini inshallah tuko pamoja,,,shukran...

Ma shaallah habibt
 
vp afya yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom