Mtaani kuna jamaa kaoa mwaka jana na kweli toto si toto. Nyash kama lote kwa ujumla ni wale warembo waloumbwa wakaumbika.
Sasa siku ya kwanza kumuona kweli shetani na miguu yake akanikanyaga akiniambia acha ujinga fanya jambo hapa sio kwa urembo huu. Ila hiyo siku nilmpotezea ikapita. Baada ya cku tatu nimetoka mpesa kuweka hela nilipie haya makolokolo yanayoitwa bills nakutana nae tena hapo sasa ndo shetani na ukoo wake wote akanizingira wakanitishia kifo. Kweli nkampa hey akajibu baada ya moja mbili akanipa namba ila akanambia atanitafta yeye, nami nkasema sawa. Na hakuwahi kunitafuta. Ila mme wake akaanza kunituhumu kuwa nammegea mke wake. Na huku hata siongei nae n salam tu.
Juzi nimeenda sehem nakutana na mtoto pap wakiwa na ndugu yake wa kike. Kwa maelezo yake kadai amekuja kusalimia ndugu yake. Nikawapa tatu nne nikasepa zangu coz sikutaka kuonyesha tabia mbaya kwa ndugu yake.
Sasa jana ananitumia sms kuwa ana maongezi na mimi ila tuyafanyie mbali na home. Swali ni: nichape ilale au nipotezee??