Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,739
ndo kusema yeye atakuwa ana experience na mablack pia? labda yeye ndo huyo mweupe tu, kwa hiyo hataweza kujibu kwa upande wa blackmaana sisi hatujabahatika kuvuka bara la afrika.sisi tupo na mablack tu.mwenzetu keshavuka bahari