Nikweli kwamba Wema Sepetu kakamatwa na Unga huko China???

Inshu ya diamond na hiyo ya mzee majuto kutotoa mmeiona lakin au nyie mmeona ya wema tu hapo @TeamManUnited
 
Leo au sasa hivi?
Haya magazeti uchwara bila kina wema hawaendi chooni watoto wao
Sina hamu na magazeti ya udaku waliwahi andika johari yu hoi taaban kitandan hawezi nyanyuka wala kuongea jaman huwez amin gazeti la siku hiyohiyo nikamuona johar mbeya yuko anachukua kadi ya ccm mbeya ana afya yake tele niliacha kusoma udaku mimi
 
Uliacha wewe mmoja lakini hawa jamaa wana audience kubwa sana na wenyewewe wanafurahia hilo.
Ndio maana wanaoiangalia jamii ya Kitz kwa ujumla wake wanasikitikia uwezo wetu wa kuchanganua mambo na utata katika preferences zetu!
 
61178054a5479877ea4c105dcb6b207c.jpg
nimeipenda hiyo story ya king majuto
 
Back
Top Bottom