Nikweli humu JF unaweza pata mpenzi wadhati.?

Nikweli humu JF unaweza pata mpenzi wadhati.?

jussine

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
36
Reaction score
16
Nasikia kwenye mitandao yakijamii ningumu kupata mpenzi. Coz wengi huwa waongo sana.
Kwaupande wangu naamini wapo wanaopenda kweli. Niliwahi kupata girl kwenye mtandao wa palmchart na nilidumu nae hadi sasa ni mwaka watatu. Na aliniacha kwa uzembe na tamaa zangu. But naamini humu mpo pia[emoji13] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 
Wengi hawajatupa mrejesho mkuu subri ila nakushauri weka Mungu mbele kwenye kutafuta huyo mwenza kuliko kuendeshwa na tamaa ya mwili
 
Hivi huko mtaani mnakoishi, shuleni, vyuoni, mnakoabudia hamuwaoni???!!!!!!!!
 
NDIO,ila wengi hawamaanishi lakini ukipata umepata
 
Nasikia kwenye mitandao yakijamii ningumu kupata mpenzi. Coz wengi huwa waongo sana.
Kwaupande wangu naamini wapo wanaopenda kweli. Niliwahi kupata girl kwenye mtandao wa palmchart na nilidumu nae hadi sasa ni mwaka watatu. Na aliniacha kwa uzembe na tamaa zangu. But naamini humu mpo pia[emoji13] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sasa kama kumbe umeshasema mwenyewe kwamba ulishampata Mtu kupitia hii hii Mitandao na ukadumu nae kwa miaka hiyo mitatu ila ni ' Upopoma ' wako tu ndiyo umemkimbiza Kwako unachokiuliza ni nini tena? Miswahili bhana!!!!!!!
 
Mpenzi wadhati sidhani kama utampata ila mpenzi wa dhati unaweza mpata.
 
NDIO,ila wengi hawamaanishi lakini ukipata umepata
Niambie mzee wa hapo Ghana. habari za siku.
Nimeona daraja la Furahisha limenoga kweli hasa nyakati za usiku utadhani tuko kwa Trampo hgahahahahah
 
Sasa kama kumbe umeshasema mwenyewe kwamba ulishampata Mtu kupitia hii hii Mitandao na ukadumu nae kwa miaka hiyo mitatu ila ni ' Upopoma ' wako tu ndiyo umemkimbiza Kwako unachokiuliza ni nini tena? Miswahili bhana!!!!!!!

"Rais" wa JF katika ubora wako
 
Mkuu wapo nitakuwa shuhuda nambari moja nikiitwa kotini
mweee! jamani na hiki ni nini tena vajameni!!!
114221.jpg
 
Ukikaa na kuamini wanawake walioko jf ndio hao hao walioko huko mtaani nadhani ungeamini kuwa inawezekana tena sana tu.

Cha muhimu upate chaguo lililo sahihi kwa sababu unaweza kuta mtu ana mwandiko wa busara ila kwenye uhalisia wa maisha mmh.
 
Sasa hueleweki mara nasikia hamna mara nilishawahi kupata..
 
wapo ila mpaka mwonane ni full kuviziana yaan.wanaogopa kuchinjwa
 
Back
Top Bottom