Nikwel security ya Blackbery ni bora kuliko I Phone?

Nikwel security ya Blackbery ni bora kuliko I Phone?

ni kweli though sio wote. kuna watu wananunua iphone na kuamua kuachana na security kisha wakajailbreak simu zao wawe na uhuru.

wapo watu wanaotaka security hasa maeneo ya enterprise kwenye makampuni wao wanataka security zaidi kuliko uhuru.

na kuna wengine (majority) hata hawajui security ni nini wao wananunua tu iphone kama status. akiwa anamiliki iphone anaskia raha
Sasa kwanini makampuni mengine yasijaribu kuweka ulinzi kama wa iCloud ili bidhaa zao ziwe bora zaidi?
mi nahisi hiko ndo moja ya kitu muhimu wateja wanachohitaji..
 
Sasa kwanini makampuni mengine yasijaribu kuweka ulinzi kama wa iCloud ili bidhaa zao ziwe bora zaidi?
mi nahisi hiko ndo moja ya kitu muhimu wateja wanachohitaji..

windows phone wanaweza ila os kama android ni ngumu sababu google hana control na hardware na kwa android pia ni rahisi kumodify chochote cha simu. wao wameamua kufuata njia ya uhuru badala ya njia ya security
 
Shukrani Chief, angalau umenipatia mwanga
 
Mada nzuri na imekuwa na mvuto.
Nashauri hili:
Kama mtu unatumia simu miongoni mwa watu wenyeuelewa wakawaida tu wakutumia simu kwa matumizi ya kawaida nahawana ujanja mwingi lock ya kawaida au pattern lock inatosha ila kama mtu unaishi mazingira yakuwindwa au kuwa na uelewa kama wa chief na wengine walio changia basi kujihami kwa simu yenye ulizi mzuri.
 
Kama OS zote za simu zingekuwa na kitu kama icloud lock nadhani wizi wa simu ungepungua kama sio kuisha kabisa
Hapa ndipo ninapo wapendea apple, ukiiba iphone yangu ama uitumie nikukamate au uigeuze toy la kuchezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom