rajabkisauti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 566
- 317
Sawa sawa
Ila iclowd ya ios 7 up to 9 mmmmh sijui mimi naona ngumu sana ...kwa upande wa windows phone hasa hii wp10 naona wamelegeza sana madeveloper sikuhizi wanafurahi sana kwa sababu restriction zilizokuwepo mwanzo katika wp7 na 8 zimeondolewa.. Alafu nahisi sequrity itakuwa thaifu kwa sababu ya hii kitu inaitwa universal app yaani mambo au app za kwenye simu zinakuwa syncled na pc au tablet hapa hacker watapata mwanya wa kuiba data .?? ICLOWD ni nouma tusiendage mbali.hio lumia 710 ni ya zamani sana ni sawa na mtu aje na iPhone 3gs halafu aseme haina security.
pia kufanya hard reset then kusema simu haina security seems huelewi usemalo sababu mtu ambae anajali data zake na security kitu cha kwanza ataomba ufanye hard reset kuliko kuona kilicho ndani ya simu.
na ukifikiri ant theft ni security feature kubwa pia upo wrong sababu naweza iba simu nikaangalia ninachotaka kuona na icloud ikiwepo, then nikimaliza haja zangu naitekeleza tu simu.
wp kuitwa most secured os sio Mimi au Microsoft wenyewe Bali ni hackers mbali mbali na security researcher
Windows Phone security is top notch, says Kaspersky
Under Attack: An interview with a hacker | What Mobile
Ila iclowd ya ios 7 up to 9 mmmmh sijui mimi naona ngumu sana ...kwa upande wa windows phone hasa hii wp10 naona wamelegeza sana madeveloper sikuhizi wanafurahi sana kwa sababu restriction zilizokuwepo mwanzo katika wp7 na 8 zimeondolewa.. Alafu nahisi sequrity itakuwa thaifu kwa sababu ya hii kitu inaitwa universal app yaani mambo au app za kwenye simu zinakuwa syncled na pc au tablet hapa hacker watapata mwanya wa kuiba data .?? ICLOWD ni nouma tusiendage mbali.
windows phone ndio simu ngumu sasa hivi kuzihack, iphone hadi kusideload apps unaweza.
bb ya zamani sii hii mpya inayorun android/app za androidHillary Clinton anaweza kukosa urais kwasababu kipindi akiwa Secretary of State alikuwa akitumia BlackBerry yake kufanya mawasiliano ya kiofisi.
Katika simu zote aliyoiona yeye itamfaa kwa usalama wake ni BlackBerry.
BlackBerry kabla wahusika hawajailinda inaweza kuwa hacked kwenye setting ya aina yoyote ile.
BlackBerry wao wapo busy sana kwenye ku-Protect software yao na ndo kitu kinachowagharimu kwasababu wakina siye hatuhitaji ulinzi wa namna ile.
Kwa simu ambazo hazijafanyiwa chochote na wataalam, utakuwa safe zaidi ukitumia BlackBerry.
Blackberry ni best kuliko iphone nimetumia iphone na blckberry security ya b.berry ni nzuri sana
bb ya zamani sii hii mpya inayorun android/app za android
yani ukisikia tu hili neno android ujue security ni F
Mkuu Chief-Mkwawa, Priv haiwezi kutumia huduma ya BES?
Ila JC ameahidi itakuwa protected kadiri itakavyowezekana.
tatizo ni android. sasa hivi zunguka google kidogo tu utaona watu wamesha extract app zote za priv unaweza zieka kwenye simu yoyote ya android. wamewezaje? na kama wameweza kuna security gani hapo?
ndio jiulize wamezipataje hizo apps?Inawezekana kabisa kui-Protect kwasababu security ya BlackBerry imeanzia kwenye hardware tofauti na simu nyingine.
Ndiyo maana kwa watumiaji wa BlackBerry tunajua usumbufu unaotokea wakati wa kusubiri process ya simu ku-Boot.
Bado najiuliza Ivi, kwani security kama ile ya iPhone huwa inacost bei gani wakati wa kutengeneza simu? na kwanini makampuni mengine yasiige ili kujipatia soko?
Inamaana hayo maujanja ameyavumbua Apple Founder tu??
Sasa chief huoni kwamba kutokana na hizo lock na security za apple zimesaidia kukuza na kutanua wigo wa soko zima la iphone?1. Apple(ios)v ina security lakini haijawahi kuwa os yenye sercurity kubwa duniani.
2. kuwa na security ni kufungiwa jela so inabidi uchague mwenyewe unataka kufungiwa uwe na security au kuachiliwa uwe na uhuru?
mfano
-ios hairuhusu system wide file manager, huwezi kumove file kutoka folder moja kwenda jengine hii husaidia app isiweze iba data za mwenzake lakini pia unafungiwa kufanya mambo mengi ya file manager na mods mbali mbali
2.kila apps unatakiwa udownload store hii inakusaidiA kuepuka app zenye madhara lkini unakosa uhuru wa app ambazo hazipo store mfano app kama ifixit haipo store sababu apple wameitoa na ukiangalia sababu ni kwamba tu hawa jamaa wanawadhiri apple kwa kufungua vifaa vyao n kutaja kila kitu walichotumia na kilipotengenezwa
ni kweli though sio wote. kuna watu wananunua iphone na kuamua kuachana na security kisha wakajailbreak simu zao wawe na uhuru.Sasa chief huoni kwamba kutokana na hizo lock na security za apple zimesaidia kukuza na kutanua wigo wa soko zima la iphone?
nahisi security ndio sababu tosha iliofanya mpaka bidhaa za apple zikawa on top (kwenye kilele)