Kwa Ufaham Wangu Najua Blackbery Walikuwa Wakiongoza Kwa Mda Mrefu Katik Security Kwa Sasa Tuna Aminishwa Na I Phone Kweny I Cloud Kuwa Ndo Ina Ubora Zaid Katka Ulnzi Je Ni Kwel Kwamb Blackbry Wamezidiwa Na Kupokonywa Sifa Hyo!
inaitwa iPhone mkuu ilikua zamani ila kwa sasa iPhone ndo simu ngumu zaidi Kudukuliwa.
Kwa Ufaham Wangu Najua Blackbery Walikuwa Wakiongoza Kwa Mda Mrefu Katik Security Kwa Sasa Tuna Aminishwa Na I Phone Kweny I Cloud Kuwa Ndo Ina Ubora Zaid Katka Ulnzi Je Ni Kwel Kwamb Blackbry Wamezidiwa Na Kupokonywa Sifa Hyo!
Na ndio sababu inayomfanya rais wa Marekani mpaka leo kutumia blackberry badala ya iPhone!
swali lako lipo general sana, unamaanisha security ya nini? ila kukujibu hivyo hivyo kigeneral sasa hivi blackberry anatumia android hivyo kupata security kama ile ya bb za zamani sahau.
Na ndio sababu inayomfanya rais wa Marekani mpaka leo kutumia blackberry badala ya iPhone!
Mkuu natafuta hiyo bb yenye inatumia android..nipe mifano...Nazipenda bb lakini app store(bb world) yake naionaga kama haina enough apps
Na ndio sababu inayomfanya rais wa Marekani mpaka leo kutumia blackberry badala ya iPhone!
Hapa Ndo Nilpo Kuwa Napatafuta Hli Ndo Lilifanya Niulze Hli Swal, Licha Ya Kuwa Bb,wanatmia Android Kwa Sasa Je N Ngumu Kuwa Hacked Maana Wana Bb Protect?
Android haiwezi kuwa safe, the way ilivyotengenezwa hakuna namna ya kuifanya iwe safe hadi google mwenyewe aamue
windows phone ndio simu ngumu sasa hivi kuzihack, iphone hadi kusideload apps unaweza.
hata windows phone unaweza kujailbreak...ila iclowd ya iPhone naona ni next level...mmmh ila sjajua mleta mada anamaana ya sequrity IPI?
Am not sure hio tool yako ina power kiasi gani ila android ni very complicated sababu app ikiwa na administrator power sidhani kama itashindwa kudisable hiko kitu.Android 5.0 and above unaweza kufanya encryption ya data zote mbona. Na pia Kama umeinstall Xposed modules kuna module nina tumia inaitwa Xprivacy ina control what application have access to for example kama autaki Facebook kuaccess gallery yako unaweza set na kuendesha.
Tufundishe basi huko kujailbreak,
Ukitoa developer unlock (ambayo inafanywa na microsoft wenyewe) sijaona njia nyengine ya kuichakachua windows phone
jailbreak iliwezekana kwa lumia 710 kwa kutumia app moja hivi inayo husika na mambo ya network hii ikafanya developer mmoja jina nimesahau wa xda developer kuweza kutumia hiiyo app kuingia katika system file kwa ujanja wake akatengeza registry editor ambayo inatumia mgongo wa hiyo app ili kuedity system..iliwezekana kwa lumia 710 pekee zilizobaki zote ikashindikana..lakini nikizungumzia icloud lock ni ngumu kutoa kuliko lock za kawaida hizi za akina lumia..kunamtu hapa ofic alilock lumia 535 nikaweza kuunlock kwa kuhard reset kwa kutumia combination keys ..na pia kuna blackberry playbook ililokiwa kwa BlackBerry id simple nikaitoa kwa kukosea makusudi Mara 10 then inajifactory reset yenyewe...sasa tukija apple hii latest iOS ni ngumu kutoa kama imelokiwa na apple id.