VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ili nikusalimu,nikufahamu. Tuzungumze,tujifunze. Tujadiliane,tuelewane na tushikamane. Nikukute wapi Mkuu?
Ili nikusalimu,nikufahamu. Tuzungumze,tujifunze. Tujadiliane,tuelewane na tushikamane. Nikukute wapi Mkuu?
madamB every time you think about bussines.Kuhusu biashara gani?
Au....
Yes,
Coz Am Intepreneur Woman,papito kapistrano.
Hata kama mjasiliamali si kuna njia au ndiyo unatumia fursa?
mimi?...
Natumia fursa hii ktk Kujitangaza humu kwenye wengi.
Maana Penye Wengi Hapaharibiki Neno!
sawasawa kwani biashara matangazo. I hope uko poa.
Niko poa kbs.
Cjui wewe!
nipo vyema.
Poa wangu.
Wakuu Kapistrano na Madame B mbona mmeugeuza uzi wangu sehemu ya kusabahiana? Niwakute wapi?
Nyegezi