HahahahaSjui kwann? Mm mzito kukataa ...
Atakuwa na bwawa maybeSasa kama hatuwezi kujua "reason behind" unataka kushauriwa nini??? Elezea kwanza hyo reason, the we can advice kama tutaona inafaa.

Ogopa sana mapenzi pasua kichwa yani utakoma sanaSamahani, poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha, naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua mimi tu, naniweza kumwandikia message " aniache nitulize kichwa changu" maana nilihisi mapenzi ni utumwa kwangu.
Imepita four months ameamua kunipigia simu, vipi wakuu nikubali au mnasemaje? Naombeni ushauri (bubbles are allowed).
Ahaaa ungajuaWewe mgeni nn katika mapenzi?
midterm mnafanya lini? ulikuwa wa ngapi safari hii?Samahani, poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha, naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.