Good..!!!Naona kama haulewi vile,...acha niishie hapo
Wewe ni me au ke..?? Umri wko ni miaka mingapi??

Mwache arudi kila mmoja utayempata ana matundu saba hutampata wa tofauti wote ni walewaleSamahani , poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha,naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua mm tu, naniweza kumwandia message " aniache nitulize kichwa changu" maana nilihisi mapenzi ni utumwa kwangu.Imepita four months ameamua kunipigia simu, vipi wakuu nikubali au mnasemaje? ..naombeni ushauri (bubbles are allowed).
Hongera uwezo wako umeishia hapo...Katika mapenzi kunakitu kinaitwa 'uendawazimu wa mapenzi'
Haujasikia mtu anamfukuza mpenzi wake kwa kashifa na kipondo juu, lakini baada ya sikumbili tatu unakuta wamerudiana na wanapendana kuliko mwanzo!
Sasa watu 'dizaini' hiyo ndiyo wewe, unatutikisia kiberiti.
Kwenye penzi ni kwamba uamzi wa kulivunja ni wa kwako binafsina halihitaji ushauri.
Suala lenu ukilitoa hadharani maana yake unataka suluhu.
Mtu mwenye busara zake hata adhihirishe kabisa kuwa mmoja ananyanyasika,kamwe hawezi kutoa ushauri wa kuvunja, bali atajitahidi kusuluhisha.
Dosari ama malalamiko yahusuyo mapenzi yatolewayo hadharani huwa ni kwa ajili ya usuluhishi tu.... Wigwaga au wigagwa nyanda?