Nsharuhusu mapovu ,uwanja wako mkuu......Rudisha hiyo sim kwa mamaako mara moja..... Ile home work ya somo la kugawanya umeshafanya? Na table ya tisa umekariri yote? Kesho usisahau kubeba fagio na maji ya kumwagia maua ni zam ya mwl frank [emoji53] [emoji53]
Ok, mkuu ntakua cjakosea nikisema huna maamuzi juu ya kile unacho kiamini right?Rudia kusoma post yangu,ujue nani alimwacha mwenzie..
kwa hiyo kukupigia ndio anataka kurudisha mahusiano? ebu kua bwana kama umehamua kumwaga mmwage mazima simu sio issueSimu yake nimeipokea na akanipa hi tu..maana ninadra kupigiwa simu na mtu ambaye mmeachana naye mda mrefu.
Best c utoe hicho ki emoji jmnKama ulishaamua kumuacha inamaanisha hakufai,bac endelea na mambo yako kukupigia cm inawezekan anakusabahi tu [emoji23]