tatizo mnaishi na wenye nyumba wenu kwa maigizo...
kwani ukimwambia mtu umekwama kodi utamlipa mwez ujao anakufukuza??
mbona binafsi kodi nishapitiliza mara nyingi napokwama na nimeshailipa mapema mara nyingi napozifumania na mwenye nyumba anaelewa...
ishini na watu vizuri.. onyeshen maisha yenu halisi.. sio kuishi kwa maigizo na usaniii
Mwenye nyumba ananidai kodi jamani na hela sina kwa sasa kuna jamaa nlimukopesha nae mambo hayajakaa vzr. Naomben ndugu zangu mnikopeshe laki na nusu ntarudisha ijumaa ya wiki lijalo