Nikopesheni 7000\=

Wakunyumba nimecheka sana ulivyoniambia nikutumie ujinywee heineken zako yaan maelezo yake yananitia huruma jamani
Punguza huruma bana, mtu unaombaje 7000 kwenye mitandao? Anawachora tu
 

Daaahwe jamaa una hekima si za nchi hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba nimecheka sana
Hiyo pesa tunaomba utugawinyishie tuweke bando plz ahahahahah
 
Mtaibiwa na wana JF wenzenu hapahapa...

Poleni sana.
 
Wizii mtupuuuuuuu, tena na tenaaaa mkome kabisa kuifanya JF kuwa kijiwe cha kupigia deal mbuzi, binafsi ningekuelewa kuelewa kama ungesimamia kwenye kutafuta memba atakaye kuwezesha kupata ‘piece work’ ya buku 7 ili ujikimu
MKUU HUYU YUPO SERIOUS, ASAIDIWE. ni vile tu hapa nilipo sina balance kwenye M pesa yangu. Anitafute kesho mchana nimrushie elfu 30.

MKUU HUYU SIO MUONGO. mm ni mind reader mzuri tu, huyu anahitaji kweli. sawa mkuu????
 
Umejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
mkuu tukiendelea kutumia kigezo cha muda uliojiunga JF ndo usaidike, watu watakuwa wanakufa kimya kimya kumbe wangesaidiwa. kwanza kasema simu sio yake so tusishangae amepotea...kikybwa mcheck pm, akupe namba utume hela. sawa?
 
Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
KWANINI MANATAKA KIGEXO CHA KUJIUNGA LINI AU UPO KWA MDA GANI JF NDO KITUMIKE KUTOA MISAADA? Red Cross wakija kutoa msaada huwa wanauliza hili bomu limepigwa lini? au Polisi akija kukuokoa dhidi ya wananchi wenye hasira kali huwa kwanza anauliza umeiba nini?

WATANZANIA MNATIA HASIRA. DAAAAAA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…