Je, unataka laptop za kisasa toka marekani kwa bei nafuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, unataka laptop za kisasa toka marekani kwa bei nafuu?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by luckman, Sep 2, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  je, unataka laptop za kisasa toka marekani kwa bei nafuu?
  afridev company limited, wasambazaji na wauzaji wa computer, tunapenda kuwataalifu kuwa, computer aina ya dell pentium 4, mpya na used zimewasili toka marekani
  bei zetu ni nafuu sana
  tutembelee sasa.
  tunapatikana kinondoni mkwajuni.
  kwa mawasiliano tunapatikana kwa namba zifuatazo +255 653549950

  ‘tumia bidhaa zetu ili uonje radha ya ubora wetu’
   
 2. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  weka bei kabisa ili mtu akiamua kuwatafuta ajue pa kuanzia
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kutoka marekani siyo ishu.ishu ni ubora na bei.mia
   
 4. GABOO

  GABOO Senior Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi nipo arusha,ntapataje
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  communicate with us via the cell phone number given below!
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  weka bei wacha longolongo mkuu!
   
 7. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Yaani hadi useme zimetoka USA.....Kwani ukisema zimetoka China ama Vietnam inakuwaje?
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  rekebisha kwenye red ..... halafu ndiyo tufanye biashara
   
 9. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu ukisema laptop za kisasa unawauzia wabongo wenzako hapo si unatudanganya tu, hizo Pentium 4 kwa recodi ya Tabloids chip za Pentium 4 zilianza kutumika November 20 mwaka 2000.. hizo computer za zamani unataka wauzia watu, tutaftie vitu vizuri bana tunavyoweza tumia hata kwa miaka mi5 ijayo dual core, core 2 duo, core i3,i5,i7,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!:deadhorse: :deadhorse:
   
 10. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hilo neno nafuu sasa hapo halina maana.You should have stated the price ili tuweze kulinganisha na zilizoko kwenye market.Otherwise message yako bado inaelea hewani.Halafu hata hivyo hizo computer zako mbona za zamani sana?Hivi unafikiri wabongo ni washamba kiasi hicho.
   
 11. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni vema ukiweka bei kuliko namba ya simu kama mwuzaji mmoja wa blackberry alivyofanya na mimi nilikuwa mmoja wa wateja wake na ndo hii naitumia.
   
 12. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  ningekupa Thanks sema Mode wametoa kitufe....
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,532
  Trophy Points: 280
  Kama pentium wewe ndio unaita za kisasa je centrino na duo core utaitaje?. Kwa msiojua computers msidanganyike eti pentium ni za kisasa no way. Niliposoma heading nilitarajia kukutana na Mac Air book, kufungua kumbe pentium!.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa aina ya kompyuta utawauzia watu wa mosko na hananasifu,,,,,,,
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unaezakuta kitu mchina anakuambia marekani
   
 16. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  We Tanzanians have a very long way to go.
   
Loading...