Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

fbullet

Member
Mar 25, 2013
65
63
Habari wana jukwaa, nimefurahishwa na taarifa za msanii wangu pendwa ndugu Mh. JOSEPH HAULE maarufu kama Prof Jay.

Nimesikia tetesi kuwa anasumbuliwa na Figo, nikiwa kama kijana mpenda mapinduzi na mpenda maendeleo na pia mpenzi wa muziki niko tayari kumsaidia moja kati ya figo yangu ili kamanda arudi kwenye mapambano.

Ndugu na jamaa wake tafadhali tuwasiliane kwa ajili ya mipango , Ahsante nawasilisha

Ombi kwa JF tafadhali msifute post hii
 
Mkuu Salute kwako na kwa wazazi wako ambao wamekulea kiupendo, hili Nami iam in, msaada wowote pls inbox au uongelee hapa nami nichangie kama wazo hili mhusika mkuu atakujibu, ur a star!
Habari wana jukwaa, nimefurahishwa na taarifa za msanii wangu pendwa ndugu Mh. JOSEPH HAULE maarufu kama prof jay.... Nimesikia tetesi kuwa anasumbuliwa na Figo, nikiwa kama kijana mpenda mapinduzi na mpenda maendeleo na pia mpenzi wa muziki niko tayari kumsaidia moja kati ya figo yangu ili kamanda arudi kwenye mapambano.... Ndugu na jamaa wake tafadhali tuwasiliane kwa ajili ya mipango , Ahsante nawasilisha

Ombi kwa JF tafadhali msifute pos
 
Pia na mm nataka kumpa Figo prof Jay Mimi sinywi pombe wala sigara Wala kilevi chochote Nina 24 yrs tu so Familiya Kama unahitaji Figo watu tupo najua tutalipwa na Mungu Mimi pia nipo tiyari.
Safi sana Bro
 
Back
Top Bottom