Niko tayari hata kukatwa ulimi!

Niko tayari hata kukatwa ulimi!

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Wana jf kwa mara nyingine tena naomba niseme nampenda namtamani na namtaka Wema Abraham Sepetu na niko tayari kwa lolote,kwa hiyo wanajamvi la msingi na la sekondari naomba mnisaidie.
 
mnaboa mno na threads hizi
wema anagawa ovyo ovyo,we usimtafute kimya kimya kwa wakati wako
unakuja kutujazia server tu hapa
 
Naona umerudi tena kutumalizia wino wa vibodi zetu...
 
duuh inaonekana na wewe ni mtu wa vituko kama wema , ukiwa na hasira na mwizi mfukuze kimya kimya yeye mwenyewe ataoongoza kituo cha polisi
 
wanaopenda huwa hawajifaragui hivi...
kwani huyo Wema si anajulikana anapoishi, namba zake za simu zajulikana, clubs anazoenda zajulikana nk nk nk...

hahaha! Mwenzenu kapenda jameni! Msaidieniii
 
The best idea i will give u ni kwamba u just go direct 2 GLOBAL PUBLISHER then wanakupa front page kwenye magazeti yao then Wema (kwa anavyopenda misifa) atakufind by any means akate kiu yako
NB;Next time ukiwa na topic kama hizi ni vyema ukienda kwa watoto wenzio huko fb nadhani mutaelewana muzuuuuuuuuuur kabsaaaaaaaaaa
 
We Unamtaman,alyempenda Ni Diamond Tuuuu,,hyo Ya Kumuhonga,na Andaa Laki 2 ya vocha kumtumia Sali
 
Jmos yupo laliga moshi we njoo na hela zako broo

Sent from my BlackBerry
 
Back
Top Bottom