Niko Sinza nachunwa

Asante kwa kuniongezea siku zangu za kuishi maana nimecheka....!!!!!!!
 
Mkuu nimecheka sana hasa ukitegemeaulihitaji kugonga mzigo leo.....haha haha inauma aiseee
akili ya mwanadamu ni dhaifu sana,just simen discharges inampa tabu kiasi hiki??
 
Mkuu pole mwenyewe yaliwah nitokea Meridian Kino,daah anamimina Henken alaf hata kiuno hataki kuguswa nlimtoroka mpaka leo hatujawah onana,ukizubaa tuu badala ya kukuchuna kwa kisu atatumia maji ya moto kama kukchuna kama kitimoto, sepa mwachie manyoya maana kama nakuona ulivojaa Upepo
 
Hatari sana
 
Kaka asee we ungeemlazimisha ivoivo mda mwingine wanakua waongo asee
 
 
Pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…