RFP
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 171
- 194
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
