Niko serious natafuta mchumba

Niko serious natafuta mchumba

Mimi siangalii kosa madam umeeleweka mimi niko tayari. ..ila na mimi nina vigezo vyangu pia...una tembo card master card?,gari ya kutembelea unayo au ndo daladala? Asset umilikizo zinadhamani gani? Hutakua na mchepuko kweli ? Hununinuni hovyohovyo? Unajua kujali au mbwembwe hapa? Wewe ni mtanzania halisi au umechanganya changanya msomali..
wewe ni mkristo? Kama niliyokuuliza uko
Ok nayo aya anza kuntongoza si unajua utamaduni wa kiafrica lazim uanze wewe mimi naona aibu

Nenda kwa omar bakhressa
 
Kama upo serious basi,ungejitafutia mchumba huko uliko....
 
Back
Top Bottom