Siyo kumjua tu, ni kwamba niko nae sehemu moja ya kibarua!
Na bahati nzuri ni MTU muwazi toka enzi hizo akiwa na ngoma hadi sasa yuko Neg- na anaendelea kuonyesha hadharani dokomenti zake!
Dawa ya babu inafanya kazi!
Shida ya hapa JF hata ukiona tukio LIVE na kuja kuripoti hapa watu watakwambia LETE SOURCE!
Ndiyo maana jamaa mmoja kawauliza wanaotaka SOURCE kuwa wanataka TOMATO, au CHILLY SOURCE!
Mnara wa NETIWEKI ulikuwa haufanyi kazi sasa hivi naona umeanza kuinukaMbona hujatuambia unaenda kutibiwa ugonjwa gani????????????
Hahahahahahahaha! Hahahahahahahahahaha! Mwambie Dereva wako aongeze mwendo kbl ya TAA kuzimika! Ama kweli Babu kiboko yao.Mnara wa NETIWEKI ulikuwa haufanyi kazi sasa hivi naona umeanza kuinuka
Ukweli ni kwamba kuna waliopona na ambao hawajapona. Nawafahamu wengi tu! Mimi nadhani wale ambao hawajapona wakarudie dozi. Mchungaji alitaka watu wapige kikombe kimoja bila kurudia ili kupunguza msongamano.
watu wanazidi kupukutika tu
<br />Wanaomwamini shetani ndo wamepona end of the story! Sirikali imethibitisha haiponyi tena imesema bora na muarobaini loool