Niko njiani kuelea Eritrea

mtu angeweka tuone namna wanavyotumia lips zao kuongea .. ukute wanasauti nyororo na maneno yanatooka kwa upole ,.. nikae kimya wanabahati sikuwa mwanaume
naona unaanza kutaman hahaahaa!
Mkuu hapa najipanga kuelekea huko siwez kupitwa na ofa hii,
 
Hivi ni Mkuu ndio yule jamaa anayesema hakuna Ukimwi unaopatikana kwa ku sex ???
 
hahahaa! Kiota mbona kilisambaratika zaman sana. Kilikuwa na wivu sana, sasa hivi natafuta kingne huko eritrea
tabia mbaya .. kiota bwana naye anamkwara .. haya safari njema ufike salama unitumie kapicha
 
tabia mbaya .. kiota bwana naye anamkwara .. haya safari njema ufike salama unitumie kapicha
kiota alikuwa mpaka kero' kila namba inayoingia lazma aulize nani aaghrrrr!
Sasa hivi ni mwendo wa kupekua tu hadi eritrea,
 
Kuna jamaa yangu fulani alikuwa anafanya kazi kule anaishi mitaa fulani ya pale naniii,alirudi na mtoto mkali anae mpakas asa,lakini naona siku kamiss kwao anasumbua sana kurudi
 
Nitaenda kupita na pisi mbili kali nizipeleke arachuga,na hali ya hewa ilivyo ya ubaridi hapo ni burudani.
 
Hiyo nchi hutaweza kuishi, nimepita hapo. Unachoweza 'kuokoto' mtoto mmoja na kurudi nae Bongo, maana wanapenda kweli kuondoka nchini humo, lakini hawana namna tu.
Ticket kwenda na kurudi ni kiasi gani
 
dah....nami naja mkuu....niandalie makazi unipokee mkuu
 
nyie apa bongo endeleni kutuuzia tu itafika wakati mtatutafuta na tochi msituone
 
Ukishafika Eritrea utaelewa. Safari yake ndefu kweli ndege ni hadi Misri ndo unapata ya kuunganisha. Ingawa nasikia Ethiopia Airline nao wapo njiani kuanza kwenda huko.
mistaki kwenda,...nataka niongeze knowledge2 mkuuuuuu
 
kiota alikuwa mpaka kero' kila namba inayoingia lazma aulize nani aaghrrrr!
Sasa hivi ni mwendo wa kupekua tu hadi eritrea,
Alikupenda sana may be ha ha ha pole sipat picha dili zilivuokuwa zinaruka hewan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…