Niko njia panda

Pole sana mkuu BILGERT kwa yaliyokufika ila naomba usihuzunike sana na kusikitika. If it wasnt meant to be it wasnt meant to be. Mshukuru Mungu kwa kukufunukia na kukuonyesha tabia halisi ya mwanamke uliye naye. Huwezi jua pengine angeweza kukufanyia makubwa zaidi huko mbele ya safari endapo mngeendelea na uhusiano wenu ambayo yangeuumiza sana moyo wako.

Najua jinsi gani na unaumia kutokana na uliyofanyiwa na uliyempenda, lakini maumivu yote hayo yatakwisha tu kadiri siku zinavyozidi kwenda maana hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kidonda ulicho nacho kitapona haraka endapo utajitahidi kukitibia ili kipone. Kumkosa huyo mwanamke sio mwisho wa maisha yako kwani yupo mwanamke bora kwa ajili yako ambaye Mungu alikuandalia tangu kuumbwa kwako, she is out there looking for you. So usikate tamaa cuz ukikata tamaa utamkosa huyo mwanamke ambaye Mungu ameakuandalia. Piga moyo konde kaka, inuka, pull up your socks and move on with your life.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa ushauri kamanda,ila kinacho niuma cjamkosea chochote...kwa nn anifanyie hivo
 

Nakushukuru sana Mkuu kwa ushauri wako Murua,Mungu akubariki sana.hakika,ntaufanyia kazi huu ushauri,na nina amini utanisaidia
 




Ahsante kwa ushauri mkuu...point noted
 
Nakushukuru sana Mkuu kwa ushauri wako Murua,Mungu akubariki sana.hakika,ntaufanyia kazi huu ushauri,na nina amini utanisaidia

Mkuu BILGERT, some things in this world do change and some them never change. So even people do change. What has happened...has happened. You cant change the past but you can take control of the future. Just accept what has happened and move on with your life.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unawezaje kumdate mwanaChuo afu ukajiachia hivyo?? Mkuu wanachuo hawafai muwekwa ndani, hao ni Wa kugegedwa tu
 

Taratibu dada utaua mtu kwa presha
 
Kuwa mvumilivu akimaliza shughuri zake atakutafuta
 
Amka wewe usinziaye yasije kukuta mabaya zaidi.Tangu nijue kanuni za mapenzi wala hayanisumbui unajua kwa nini? Wanasema mapenzi yanawasumbua wajinga...umpendaye hakupendi sasa maana yake nini...anacheza na akili yako hebu badili mchezo sasa wewe cheza na akili yake.Usimtafute kwa njia yoyote Fanya kama vile alishafariki dunia hata kama itakuumiza sana jitahidi msahau anza na mwezi 1 asipokutafuta jua hukuwa anakupenda ila wewe tu hukujua endelea na maisha yako bila yeye
 
Miaka 24 bado huko mdogo ndio umezama kwenye mapenzi kama enzi zangu..usipoteze mda mpenzi sahii utampata baada kufikisha miaka 27 na kuendelea..hayo uliyonayo ni mapenzi ya chuo..achana naye chukua zako
 
Ah wewe nae bwana wa kwako ukiwa nae akisepa wakila mtu...wajanja walisha mgegeda huyo
 
kaza moyo,mapenzi yasikwendeshe hivyo-kuna vitu vingi vya kuafanya zaid ya mapenzi,msahau na endelea na maisha-binafsi mishe kama hizo wala sinaga presha kabisa-sijui nikoje
 
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it [x3]
You'll be happy again..
 
Ndo wanavyofanyaga watoto wachuo ambao wanaishi home na wazaz,ikishakaribia likizo anawahi kuondoka chuo huku home wakijua bdo yuko chuo anaenda kugongeka kwa kidume then baada ya siku kadhaa ama wiki ndo anajifanya kurudi nyumbani akizuga katokea chuo,huyo alishaanza kuonyesha dalili mapema ila you was too blind,to see.Ushauri wangu anza mchakato wakutafuta mwenza mpya,huyo hata akija kwa magoti usimkubalie,hafai hata kwa kulumangia na kachumbari,piga chini na umsahau
 
Be a man brazza...
Just chill she will come back after these holidays coming and she knew it b4 you are a Teacher...you do not have doo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…