Every relationship has a chaser, and the chased. You're the chaser, my friend. Now relax, if you're worth it, she'll get back to you and explain everything.
Ukweli ni kwamba inakera sana. Alitakiwa akujulishe kuwa kafanya maamuzi ya kubadili gia angani.
Ingawa siyo vizuri kuongea naye, nakushauri kama unaweza kumtafuta kwa namba nyingine kabisa, mpigie halafu usikie anajikanyaga nini. Vinginevyo, utakuja kuletewa hadithi za kuibiwa simu na upuuzi mwingine ili uendelee kuwa kwenye waiting list.
Ni vizuri kuhakikisha (kama inawezekan) ili uanze mwaka kwa amani!
Inatia hasira sana aisee
Teknolojia Imekuwa Sana Anaweza Kukublock
Kuanzia Simu Yako Hadi WhatsApp
Unatakiwa Kuwa Makini Na Hamjagombana
Huenda Kuna Shida Imempata
Halafu Huna Cha Kupoteza[/
Ndo nashangaa mkuu,maana nmebadili namba yangu ya whatsapp nkaweka nyingine....ajabu namkuta,tena recently katoka online
Ahsante kwa ushauri broo,ntaufanyia kazi
Boom lenyewe la mawazo akae na kiboifrend afe njaa, we unamuamsha alfajiri akapande sijui sabena teh tulia bana mtoto yupo ndani ya private car, kavaa kigauni kifupi, anakula kiyoyozi dereva anachange gia huku mkono pajani....maisha ni matamu haki a mama

tafuta hela kwanza mkuu,ungekuwa na hela usingeachwa mkuu.umri wako ni mdogo sana jikite kwanza katika kutafuta maisha.ukiwa na hela wanawake utawakimbia.huyo hana time na wewe kwa sababu anaona anapoteza muda wake kwako(sor for the use of abusive lg).
ungenishaur cha kufanya sister,nko njia panda kuliko kuzid kunitia hasira...maana sielew hata kinachoendelea