Niko njia panda

Wewe fikiri kuhusu POSSIBLE na IMPOSSIBLE things.......Hivi wewe kweli umemaliza chuo au ulidisco.....Hilo la kumwambia mkewe ni IMPOSSIBLE THINGS haiwezekani naapia vile.
ataanza hv..mama tama unajua ktk pitapita yangu nje nime...mh! Nimetia
mimba kwa ....pambaf! Atakuwa mgonjwa wa akili.
 
Kumbe kumuacha haiwezekani kwa hiyo ushauriwe nini tena wakati umeshweka masharti?
 

Kwanza ww chuo hukwenda kimasomo bali kilichokupeleka ni hiyo biashara, jambo la msingi mnusuru kijana wa watu na hili janga tulilonalo! :iamwithstupid:
 
Kwa muda itaonekana kama hakuna zaidi yake, lakini as sure as sunshine; utajutia huu muda unaopoteza. Kilio cha mkewe kitakuwa laana kwako and you will end up a lonely old woman. Take it from waliopitia njia unayoikanyaga wewe muda huu! Imeandikwa "a wise person is who learn from the mistakes of the others"
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
kuna muda nadhani haupaswi kuusikiliza moyo na kukipa kila kinachohitaji.
 
umengangania kabisa kumwacha mume wa mtu haiwezekani,, seriously????
siku utakapo tembezwa mtaani uchi baada ya kufumaniwa na kuliwa tigo na njemba zaidi ya moja
ndio utajua utamu wa mume wa mtu.
tafuta wako.
Elimu yako imekusaidiaje kujikomboa kifikra?
 
Take a chill pill dude i respect you
Ungejiheshimu ungebeba wame za watu acha kukoromea watu wanakuambia ukweli zinduka we mwana dada.Nashindwa kuelewa lipi linakufanya ung'ang'anie mume wa mtu jamani?Jiamini hata kama una sura kama mama Anna Mkapa una stahili kupata chako cha peke yako dia.
 
i know u very well,umesoma ardhi,ww ni kicheche mbaya so uctusumbue kuomba ushaur
 

Acha ujinga kuwa nawakwako.huyo mume wa m2 sio wakwako.kaa ukijua kunasiku ataitaji kuwa karibu na wife wake na ww atakupotezea.ivi hujui raha yakuwa huru na mtu wako?huyo mume wamtu hata kama mnapenda lakini mnapendana kisilisili.au ukitaka kuamini kuwa anampenda mke wake.mwambie akutambulishe kwa mkeo wake kuwa ww nimwenzie.tulia na wako huyo anawakwake.
 
Dada white nilishagraduate ila sikusoma hiyo university uliyoitaja acha kupaka matope vyuo vya watu stick kwenye mada ni vyuo kibao vinatoa degree za 4 years
Sasa kama umesoma miaka hiyo minne ndo hicho ulichokiandika ulichoelimishwa huko chuoni unaposema ki ukweli dia umecheza chini ya kiwango dhamani yako sio bei nafuu kiasi hicho cha kuanza maisha na mtu/mume wa kuiba.
 
huyu nae anahitaji kuvuliwa magamba,ukisikia kichwa cha mwendawazimu ndo hiki we unaparamia mme wa mtu na kutua mizigo yote na kumsahau mpenzi wake kweli inaingia akilini?:shut-mouth::shut-mouth:
 
Mkuu i'm suprised!Leo unazungumzia ahera?Hivi hii ni moja ya wilaya za mkoa wa Moro eeeh!

ahahahahaaaaaaa_kwani vip mkuu...?..wewe ni ndugu yangu kiimani sema mimi sio mlokole mkuu...salama lakni..!
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

We subiri kwanza akili yako ikikukaa sawa ndo utajua cha kufanya.

Sasa umepofuka na vya wizi.. Wenyewe wakikumata .. Usisahau hayo uliyosema hapa.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwi kwiiiiiii watu8 nimechekaa mpaka bathiii

"ana hashuo la shombo la samaki, maana naona anataka aparwe magamba huyu!!"

Hii kitu unaweza kumpatia mzee Yusufu akaweka ktk mashairi yake. Dadekiiiiiii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…