wewe utakuwa ulisoma chuo cha kata kama Ruaha university.HUJUI KUREASON.hata mwanangu anaesoma baby class anakushinda reasoningDada white nilishagraduate ila sikusoma hiyo university uliyoitaja acha kupaka matope vyuo vya watu stick kwenye mada ni vyuo kibao vinatoa degree za 4 years
Anajua alichomfanyia huyu mwanaume.ndiyo maana anajiamini kwenye hiliWewe fikiri kuhusu POSSIBLE na IMPOSSIBLE things.......Hivi wewe kweli umemaliza chuo au ulidisco.....Hilo la kumwambia mkewe ni IMPOSSIBLE THINGS haiwezekani naapia vile.
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
Anajua alichomfanyia huyu mwanaume.ndiyo maana anajiamini kwenye hili
Take a chill pill dude i respect you
Hawa watoto wadogo hatari sana.sijui anatoka mkoa gani ila nahisi anawaza jinsi ya kurithi MALI za huyu jamaa. Na huyu jamaa hajui kama kwa sasa anaangaliwa kama marehemu mtarajiwa.Kaka umeniamsha usingizini japo hutalala wewe.
Huyo mpenzi wangu hayupo nchini kwasasa hivo siyo kwamba nawachanganya
Huyo mpenzi wangu hayupo nchini kwasasa hivo siyo kwamba nawachanganya
home town meeen unafahamu langoyo!!!