Niko njia panda

Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

na mapenzi ndio hupelekea ndoa..... sasa huyo mme wa mtu utakuwa nae mpaka lini?,,, mkewe akistuka utakaa wapi weyee? ok... zaa nae kapisa ujue na pingu ushajipiga..... na huyo jamaa mwambie ukweli... nimempata mme wa mtu na anamaliza kila kitu....nisamehe moyo umependa ..mwili ukaamua.....dhambi zangu mwenyewe...
 
Azote nimegraduate nikiwa 23 mwezi mei mwaka huu ntakuwa 25
baby mama hebu funguka,huyu mme wa mtu amekuambia ni nini future yenu wewe na yeye?funguka basi usaidiwe na wanajamvi hapa
 
Poor katlego angekuwa ana akili.maneno haya yangemuingia.Bahati mbaya she is deeply in love with that monster
 
Last edited by a moderator:

Katika wajinga nadhani huyu anawza kuwa kiongozi wao, pamoja na elimu aliyonayo bado hajaonyesha umuhimu wa elimu. Kweli kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
 
nataka kuzaa na wewe aisee
 
Sa nahuyo mume wa m2 anamalengo gan na ww? kama mwenzio ameamua mutumiane tu alafu kila mtu abaki na mpenziwake wa kisheria basi jua we ukimuacha mpenzi wako utajuja tafuta mume ukiwa kikongwe! Me najua we minyege ndo inakusumbua, kinawasha mumeo hayupo mbona angekuwepo ungetulizana tu! Me nakushauri piga game jamaa akirudi achana na game za ugenn! Kiukweli saiv hata me ukinipa usukan utaona nakufaa sana! hilo tatizo la wanawake wengi ndo maanawaislami wanashauri sana tusiwe mbali na wake zetu kwa muda mrefu tunawapa mateso!
 
Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye

We kweli una matatizo, sasa nini maana ya kuomba ushauri? Huo ndo ushauri wenyewe.
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
 
MY friend you are possessed. Play and apply the original of this. You will be delivered. You can also watch this online: Emmanuel TV - A Christian Television Network by T.B. Joshua

Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
Unajipa moyo.Usisahau kumwambia akumbuke kukuweka kwenye "WOSIA"."eti watu wengi wanacheza peku", ama kweli akili ni nywele, I wish ningekiona kichwa chako.
 
kwa haraka haraka nimegundua ulikuwa na nyege zilizochanganyikana na dalili za upweke!!!!!!!! USHAURI.... usimwambie sasa hivi huyo BF msubirie arudi kwanza then ujipe muda upya wewe na yeye mapenzi yanaweza kurudi upya, kwa sababu pia hapa naona kuna tatizo la distant love then kama hayatarejea tena umwambie ukweli ila kwa sahv we endelea kumegwa na huyo mme wa mtu.
Huyo mpenzi wangu hayupo nchini kwasasa hivo siyo kwamba nawachanganya
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last

Amweleze mkewe kakuambia eeeh! unafikiri mkewe atafurahi eti! unaona kitu rahisi pole sana.
 
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last

Siyo kwamba wana lengo la kukudhalilisha ila unachokifanya hakikubaliki(angalia michango ya watu wote ndo utajua) na kwa vile nyote mmeamua kumuweka mungu pembeni na kumkumbatia shetani mke wa halali nae akiamua kuendeleza ushetani anaweza akatumia ushurikina(nguvu za giza) kupambana na wewe kitu ambacho wanajukwaa hawataki kikukute. Michango yote ina lengo la kukusaidia wewe na siyo mtu mwingine.
 
baby mama hebu funguka,huyu mme wa mtu amekuambia ni nini future yenu wewe na yeye?funguka basi usaidiwe na wanajamvi hapa
Azote, huyu anahitaji msaada wa kiroho.Anafikiri asante ya penzi ni kuzaa na mtu.na wala hiyo mimba sio bahati mbaya, she did on purpose, ili jamaa a-draw attention kwake.Poor katlego, kumbuka ule mwimbo wa Lady JD, "usiusemee moyo".
 
hahahah...yaani huyu mtu amenifanya nianze kuwafikiria mara mbili mbili wanawake, sina uhakika kama kweli akili yake ina uzima...nahisi ana upunguani
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…