tumekuwa digital
hata mimi naonatumekuwa digital
Sawa lakini mwanaume kwani hajui siku za hatari? Mie mbona natomba siku za hatari ---- ni tamu lakini sijajisahau kokojoa ndani hata sku moja. Najua ulimwomba mtoto ikabidi ubinadaam ukamwingia mzee akaweka vitu. Ndio maana naogopa nyumba ndogo hii kitu huwezi kukwepa.
Usemayo ni sahihi BAK nimejaribu kuushinda moyo but nimeshindwa
Sijawahi muomba mtoto wala sikuwa nimeplan kuzaa till nifike 28
Sijawahi muomba mtoto wala sikuwa nimeplan kuzaa till nifike 28
Hivi dada zetu siku hizi mmekuaje?
Anajua alichomfanyia huyu mwanaume.ndiyo maana anajiamini kwenye hili
si mzima wewe, wakakupime!Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Hao dada zako hawana tofauti na kaka zako ambao sio tu wanasaliti wake zao lakini wanawaweka kwenye risk ya magonjwa na watoto kuwa yatima kwa kucheza peku peku hadi kuwapa mimba watoto wanaowazidi miaka 14.
mhh hivi wadada wa siku hizi hampendi starehe tena? mie nashangaa utafurahiaje maisha/starehe ya ujana wako kwa umri wa 24yrs kutembea na mume wa mtu? wengine tulipokuwa 24yrs tulikuwa tumeshaolewa, but tuliruka manyoka na vijana wenzetu mwanzo mwisho mpaka wakatununua jumla, baadae anakuja kutafuta mchumba humu na age ya 35yrs na kulaumu kila miungu kumbe alishajitia manuksi/balaa na waume za watu.
Definition ya starehe inatofautiana kati ya mtu na mtu; kwake yeye starehe ni ngono tu na sio romance na adventures; na ndio maana akipata kitu cha mchana kwa hardly two hours tena kwenye chumba cha hoteli na kudanganywa jinsi gani alivyomtamu kuliko mkewe na kuambiwa how he wishes binti angezaliwa in 70s basi anaona dunia yote yake. Na huenda alishakuwa disappointed na kijana mwenzake hivyo ameona anapata tulizo kwa baba fulani ndio kabisa inamaliza kila kitu.
All in all kuna muda wa majuto na surely ataujutia sana muda huu.

Yaan mkuu hawezi kukuelewa hapo alipo, mm nina experience fmr my hubby. Wanaume nimewarespect kuliko kiumbeUnajua mkuu nimegundua hawa watoto wengi wanafikiria kwa kutumia MASABURI yaani yeye anaona jambo rahisi kama kuiba hela kwenye pochi lako mwenyewe....Ngoja atakapopata huyo mtoto ndiyo atajua kwa nini wanasema mme wa mtu ni tamu chungu.