Nina miaka 27, nafanya kazi mkoa fulani Hivi karibuni nilipata mchumba wa kipare nikaamua nimuoe lkn kwa bahati mbaya au nzuri nishindwa kumuelewa kwasababu
1) ni mvivu sana nilienda kwake yaani hata kunifuria nguo hapana wala kunipikia
2) anamfanyakazi wa ndani kumbuka yuko pekee yake
3) kunipa penzi mpaka purukushani yaani ni bao moja tena la shida
alikuja kwangu hali ikawa hivi
A) hakugusa chombo hata siku moja
B) hakupika hata siku moja
C) hakudeki hata siku moja
D) hakunifulia hata siku moja
N.B ananiambia hawezi kujibembeleza kwa mtu coz ataonekana sio msomi.. yeye ni bank officer na anafanyia kazi mkoani kwetu means home kwetu anapajua kipato changu ni mara tatu yake yy salary yake ni laki 7 kwa vyovyote nampita mbaaali na pia home tuko vzr kuwazidi wao sana.
sasa nashindwa kuelewa huyu dada kwann yuko hivi yaani mm pamoja na hela nazopata na KUWA MWANAUME naishi pekee yangu
Je huyu mdada anafaa kuwa mke? nishaurini waungwana