Niko njia panda, ushauri tafadhali

LEO CHAI HAIJAJA NA KITUMBUA ASANTE
 
Kwa kabisa nitanguliye kusema samahai maana maoni ya wengine sijasomaaa

Ushauri wangu kwakoo mkuu ni kama ifuatavyoo

1: kaka hadi mtu akazaa na mtu ujue walikuwa kwenye mahusiano
2: Mwanamke akizaaa na mtu hana ujanjaa ( mfono: kuna mwanamke nilizaa naye na baadaye kajaa kuolewaa ila hata jana nimekulaa kasafiri kutoka Moshi hadi Dar ndo nimetoka kumsindikiza kurudi moshi nilikuwa naye for three days)

3: Wewe naisi ww domo zege! Huwezi kuwa na mwanamke alaiye kwishaa kuzaa na mwamme mwingine! How, why and what bro utapata tabu sanaa afu mbaya zaidi muhusikaa umejitetea ana miaka 20 hyo isiwe kifunguo wanawake kwenye umri huu ndo wasumbufu bora ungeniambia ana miakaa 26's ningeasema ongea nayee

4: katafute mwanamke mwingine! Huyo sio mke

5: wewe kula kula.huku unaangalia pembeni

6: njoo pm mm nitakupigiaa mwenyewe tuongee we are men!!

Asante
 
Vijana tuna kazi sana yani mtu unapata nguvu za kuoa single mother duhh yan mm hta kama mme wake alikuf siwezi maan anaweza kuwa anamuijia ndoton
 
Asante bro kwa ushauri
 
Ukisema hivo unakosea mkuu,hakuwa kwenye ndoa bali alizalishwa tu mtoto na huyo mtu wake akamkimbia aliporejea ndipo naona mawasiliano bado yanaendelea
We jamaa oa tu mkishindwana mtaachana baadae. Ingawa hatari umeshaziona. Kama kweli anajua nia yako kwake na akasafiri kwenda moshi kimyakimya, pia akapotea hewani siku 5.... Unauvumilivu wa kiwango cha SGR ya Magufuli.... Unataka watu wakushauri nini hapo sasa. kama wewe bado kijana tafuta kabinti ambako hakana mkataba uliofungamana na mtu yoyote uoe ujilie vyako taratibuuu kabisa na wewe ndio uanzishe uzao wako kwake... Sio kuingilia mikataba ya watu iliyowashinda
 
Shukran sana kwa ushauri
 
Hata ungekusanya kura za maoni nchi nzima, Bado uamuzi wa mwisho unao wewe mwenyewe, Sikiliza kile ambacho unakiaminni wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…