Niko njia panda, ushauri tafadhali

Na usiombee ukakutana na washauri mavi ndiyo wanazidishaga maumivu
Yani we acha kwakweli.usipousikiliza moyo wako na kutumia akil katika mahusiano maisha yatakuwa ya ajabu kabisa
 
Mkuu mbona ukweli upo wazi hapo bi dada ashakumwaga ila anataka hela yako tu! Kama umeamua kukata mawasiliano nae basi songa mbele usirudi nyuma
 
Mambo hayo ya mapenzi mtajuana wenyewe, mimi niliwahi kuwa kweny mahusiano na mwanamke mzuri ila mchinaji balaa, ndugu zangu wa karibu walikuwa wananishauri sana, but sikuelewa na nilikuwa narudi kumwambia, mpk siku moja nilipopata akili mwenyew, nikamwacha, na yeye akakubali kirahisi tu. Ukiwa na mwanamke anaanza kukupa majukumu mengi utadhani wew mzazi wake, ni bora uachane naye mara moja.
 
K
Yani we acha kwakweli.usipousikiliza moyo wako na kutumia akil katika mahusiano maisha yatakuwa ya ajabu kabisa
Kila mtu ako na matatizo yake kwenye mapenzi sasa unapoenda taka ushauri, lazima akupe ushauri ulochanganyika na mihemuko ya matatizo yake
 
Eti unataka kuoa single maza

Unakichaa

Mleta mada Ni Fara..kashasema huyo Mwanamke amekuwa Ni mtu wa kutaka hela MUDA wote...halafu kajamaa hakajishtuka Kama kanachunwa tu halafu wanaume wenzake wanatom**..pumbav sn mleta mada
 
Mkuu mbona ukweli upo wazi hapo bi dada ashakumwaga ila anataka hela yako tu! Kama umeamua kukata mawasiliano nae basi songa mbele usirudi nyuma
 
Mapenzi yanaumiza sana iwe ni kwa singo mama,singo baba au au mtu mwingine[emoji2962]

Unaweza kupewa ushauri lakini kumbe bdo unampenda.

Chukua ushauri mzuri utakaopewa,sikiliza moyo wako,fanya maamuzi sahihi.

Pole sana.
Hapo "singo baba" [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Shukran kwa ushauri mkuu
 
Mleta mada Ni Fara..kashasema huyo Mwanamke amekuwa Ni mtu wa kutaka hela MUDA wote...halafu kajamaa hakajishtuka Kama kanachunwa tu halafu wanaume wenzake wanatom**..pumbav sn mleta mada
Fala hawez kuleta mada jukwaani,labda aliye comment anajijua kuwa ni fala
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…