Niko njia panda,naombeni ushauri

Niko njia panda,naombeni ushauri

am Too young to hold this! How old are you? With that so called your gf? Aisee huu mchezo ni wa zamani sana! Duuh! Pole kijana! Mnadanganyana! Acheni kupotezeana muda!
Well said, ila tambua dunia ina mambo mengi. Ndio maana hata mimi imenishangaza sana, mwisho nikaamua kuuliza nyie wajuzi wa haya mambo ili mnipe ushauri wenu. Otherwise nakushukuru kwa mawazo yako. ASANTE
 
Hapo kifupi ni kwamba umechanganywa kwenye jiko la mafiga matatu au Zaidi.

Natumaini hata wewe unaelewa ila mbishi tu.

Kama hujaelewa basi una matatizo makubwa kuliko hili.
Kaka nakushukuru kwa maoni yako. Ila mimi sio mbishi , ninapenda ushauri pasipokufanya maamuzi ambayo mwisho wa siku yatakuwa sio sahihi. Ndio maana nikaomba utie neno. Otherwise nakushuru kwa upendo na kunifungua macho kuhusu hili jambo. ASANTE.
 
Hii ni mpya uliza vizuri wanaomjua
usikute ana matatizo ya akili

The Boss....binti hana matatizo ya akili, and once you saw her, you will appreciate what I am saying! Lakini ushauri wako nitaufanyia kazi ili kijuridhisha zaidi na hicho ulichosema. Nakushuru kwa mchango wako kiongozi.
 
Kaka nakushukuru kwa maoni yako. Ila mimi sio mbishi , ninapenda ushauri pasipokufanya maamuzi ambayo mwisho wa siku yatakuwa sio sahihi. Ndio maana nikaomba utie neno. Otherwise nakushuru kwa upendo na kunifungua macho kuhusu hili jambo. ASANTE.
Mwanamke anayekupenda atakughasi muwasiliane muda wote. At least hawezi kutaka kuku block.

Jiulize.Hapo huishi naye mnaishi mikoa tofauti anataka kukublock.

Hakuoni kila siku lakini anataka kuku block.

Mkiwa mnaishi nyumba moja itakuwaje?

Kawaida mpenzi mwenye mapenzi ya kweli akiwa mbali nawe anatakiwa kukumiss. Ukimuona anafanya jitihada kusiwe na mawasiliano ni wazi hana mapenzi ya kweli.

Wanasema "out of sight, out of mind" , sasa huyu ambaye hata mawasiliano hataki atasemaje ana mapenzi wakati anaonekana hajali?
 
Usipoteze muda, hakuna mapenzi ya aina hiyo inaonyesha mpo 2 hivyo anapima upepo wa upande mmoja na baada ya japo kama kule hapaeleweki anardi kwako kama kunaaeleweka ndio ntolee na namba anabadili kabisa.

Asante kiongozi kwa maoni yako. Be blessed.
 
You jinxed yourself, man. Unajiita "Ngoswe" unategemea nini sasa, kama sio mauza uza kwenye mapenzi. I'm just playing.

On a serious note, pengine anakupima unachukulia vipi mahusiano yenu. Mpe muda kidogo halafu utajua tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom