amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,358
unajuaje kama hawana miaka 5 ya mahusiano?na wewe ndo mwizi uliyejibebesha mimba? Hili ndio swali.
Wanawake wengine bana!!Tena mkome tabia ya kusingizia watoto kushikilia uhusiano. Hili hujamtendea haki.
chief ngoja nikuambia wanaume ndo hawahawa anayeheshimiwa ni mke wa ndoa tu.
Hapo bi dada hajaolewa kajibebesha mimba na mwenzake naye kabeba mimba wote wanawatoto wote mahawara wote wanadanganywa hata huyo wa ofisi anaambia hayohayo anayoambiwa yeye.
Kimsingi bibie asimsingizie mtoto kuwa naogopa asikose malezi ya baba ndo kumgandaganda mtoto wa kiume.
Ninachoweza kumwambia kama aliweza kuzaa mtoto pasi na ndoa maana anajimudu kumlea mtoto na kumtunza akae atulize akili alee mtoto wake nasiyo kuja kwenye forums kujitia yupo njia panda hajielewi.
Na kama nlivyomuuliza anajuaje kuwa yeye hajaingilia mapenzi ya watu na kujibebesha mimba ili apate hakimiliki?