Niko na cold war na mpangaji mwezangu. Nifanyeje??

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Wakuu mambo vipi?. Natumai mu wazima wa afya njema na mnapambana vyema kupiga vita umaskini.

Wakuu, nmepanga chumba kwenye nyumba ambayo wapangaji wawili tunashare corridor, hivyo hapa nilipo mimi nmepanga na bi dada flani hvi.

At first tumekua tukiisha safi sana toka november mwaka jana had last two weeks ambapo tumeznguana ingawa ni indirect yan sio ugomvi wa kuznguana mimi na yeye direct.

Source

Nina madem wawili na wote wananipenda sana. So nmekua nawaleta geto kwa mda tofaut yan week end hii akija huyu next week end anakuja mwengine na i know haiko recommended basi tu ujana. Imekua hvo toka january had jnne ilee ilopita yana jana nmefunga week mbili. Na kisa cha kugombana na huyu bi dada hiyo jnne alinichezeshea mchezo mchafu wa fumanizi kwa kutegeshea nimerud job niko na dogo na yeye kuchukua jukumu la kumwmbia yule mwanamke mwengne, na dhumun lake la kufanya hvo alitaka nimuache huyo nlokua nae siku hiyo kwan kuna siku takriban mwezi mmoja na nusu aliniita na kunambia kuwa mwanamke huyo anadharau kuliko yule mwanamke mwengne. Hivi nilijua kbsa nia yake na katika fumanizi ilo i had to choose one na i chose yule ambaye huyu bi dada hampend.

So, toka siku hiyo imetokea hiyo issue tumekua hatusalimian yani hvo tunapishana t. Mlangon na koridon kupika amna stor wala nn, ila hali imeenda mbaya zaid baada ya leo kuona anaenda mbali zaid kwan nmekuta katoboa rice cooker yangu, kafanya attempt ya kuvunja kisu maana nnekuta kimepinda kbsa, kachoma baadh ya vyombo vinavyo unguzika na kutumia ges yangu kwa matumizi yasio ya lazima maan nmeambiwa na jirani mwanangu kua anamuona anachemsha maji ya kuoga, kupika/kuchemshia maharage hata kuchemsha maji ya kunywa kwene ges yangu licha ya yeye kuwa na gesi yake.

Nmemuita leo nkaongea for a first time baad ya hii cold war na kumuuliza ila amekataa hujuma zote licha ya kuwa yeye tu ndo ana uwezo wa kufanya hvo maana ni yeye peke nashea nae kiget cha kuinga kwene hiyo nyumba na ni mimi na yeye tu ndo tuko na funguo za kigeti iko.

Wasi wasi wangu

Kama kaweza kuchoma vyombo na kutoboa cooker, atashindwa kuniwekea sumu au kunifanyia kitu kibaya Zaid ya hivyo??


Mind you

1. Mimi kila asubuh naenda kazin yeye anabaki nyumbani yan hana official kazi.

2. Baada ya tu kuhamia hapa nilikua na nunua vitu kwa jumla kama mchele, sabun, mafuta n.k ila nkaacha baada ya kugundua kua nashare nae almost kila kitu.

3. Kuhusu ges najua siku nying anatumia kwan kuna vimitego huwa naweka na anasa, ila kila nikiuliza anakataa na ofcoz siwez hamisha ges nkaweka ndan na kuitoa wakat wa kupika naona utakua uswahili.

4. Kod yangu inaisha mwezi ujao, so its either ni renew mkataba au nitafute sehem nyengne.

5. Dem ni mzuri jamani. Ila Sijamla wala sikutaka kumla maana nilikua naish nae kama dada angu licha ya kazi inayosemekana anafanya (Udada powa) maana kila siku around saa sita anachomoka na kurud asubuh saa kumi au kumi na moja.

6. Kuhusu hao madem, nlochagua kubak nae anasoma chuo mwaka wa mwsho chuo flan hv hapa mjin nilichomaliza mimi mwaka jana, huyo mwengne ambaye cjamchagua ambaye anapendwa na huyu bi dada nlopanga nae hala kamaliza chuo flan hv Mwanza mwaka jana ko asa hv yuko mtaani anasubiri michongo na nilisoma nae advance mkoan Mbeya shule flan hv.6

Je, Nifanyeje jamani ili kuweza kuepukana na karaha hizi naziface pamoja na majanga yanayoweza kutokea badae??
 
Huwa napenda sana kukutana na masaibu kama haya hasa katika nyumba za kupanga ila sipati hiyo nafasi..anyway adui ukishamgundua anakua sio adui tena, kifupi kuwa serious ili mambo yako yaende, sababu kama ukisema uhame utakuwa umevunja mwiko wetu kwani hatutakiwi kuyakimbia mapambano hasa yanayosababishwa na hawa kina Hawa!
 
Back
Top Bottom