Niko kwenye mood ya malavedavi

Sir Isaac Newton mapenzi yakamtuma kuwa bwabwa, watu wanajimegea kizenji
 

Mashallah
 

 
Last edited by a moderator:
Maneno yako ni matamu sana but ungeyafanyia kazi kwa yule aliyekupiga kibuti walahi yasingetokea hayo, tatizo huwa hukuyaweka kwenye vitendo.
 
kweli mapenzi yanawavunja watu migongo
 
hata mie nilipigwa kibuti ila sasa ........... nna mawazo ka yako lol, tumeendana!
:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…