Niko kwenye mood ya malavedavi

kaka mi bado mashaka kidogo mtoto katokea kasema kani samehe halafu kala kona.......dah!

noo naangalia mi nipo na wewe swwarthert lkn nimekuja hospital riham kapata xdent ajman niko royal shrrja hospital..inshallah kesho alfajiiri nitakuja kuwajibu wapenzi wangu wote afrodenz.finest my brother na sweart heart wangu....sorry..i will be back.
 
kaka mi bado mashaka kidogo mtoto katokea kasema kani samehe halafu kala kona.......dah!

noo..i m here darling....siwwzi becouse riham kapata xdent ajman..hivi niko hapa royal hospital sharja...i havent seen him up to dis time wallah..but tomorrow alfajir ntakuja kuwajibu nyote inshallah kama kuna party mi na afro kesho tutavaa sare tusherekee.na finest itabidi uvae na hash ok..nisubirin msianze part mtanitenga.ngoja nitizame hali ya broo..ok..wish iwill meet three of u.
 

poa mama hope shemeji yangu yupo poa........tujulishe yatayojiri!
 
nimekusamehe my boy hash,,,, ireally need you for my life time,,,,, loveyou i cant be far from you,,,,,


Duuhh!!! Ina maana sweetie mie ndio ushanipiga kibuti kama alivyopigwa Humphnicky?????!!! Kwa nini lakini!!! Au sababu mie ni mweusi tii kama paka mweusi???!!
 
inakuwaje mnasuluhishana bila mimi kuwepo, naomba ugomvi uanze tena upya!
 

mtoto wa jirani yangu anatolewa mwali leo, ngoja nikuunganishe.
 
kwa hiyo mtakuwa ma-agent wa kuzamisha jua? unajua mambo mengine mtu anaweza kukuhisi utoto, hata huyo wa mwanzo aliona mambo ya kushinda mnagandana kama handbag hayawezekani. Baada ya kusaka mshiko na kuendeleza life mnakimbiza jua. mapenzi ya kisasa sisi wazamani hatuwezi hata kidogo. Mie na mume wangu tukirudi nyumbani hoi na kutoa report ya kile ulichofanya. hilo jua sijuie hata limezama saa ngapi? Its funny!

Badili tabia wangu, mapenzi siyo hivyo unavyo express. Shaurilo! lol
 
I hope mpaka sasa ushampata mwandani wako umetulia pembeni yake kama handbag, sasa msiishie hapo nenda mbele zaidi mfunge ndoa ili uendelee kufaidi kihalali
 
Jamani lini tena utakuwa kwenye mood hii?
 
Mapenzi raha ndugu yangu, tena ukimpata mpenzi ALBINO ndio hunoga zaidi!
 
We Naz umewaza nini hadi ukafufua huu uzi?!
Kuna watu humu sijawaona long sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…