Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,006
- 11,309
Hahaha sheria yetu inakataza msacha kuingia chumba cha mshiki.my kaka, si unajua ile mbusi ya msacha ushakamata? sitaenda pengine vingine ni mbwembwe tu
CC Kichwa Kichafu
Huyu hawezi kukuelewa, kwake ni pesa mbele kama tai.umeonaaeeee, wachaga wana disipiline ujue
Mimi sina tatizo mshiki, kikubwa zingatia sheria, (Usipokee ufunguo peke yake, akupe kabisa na kadi ya gari)duuuh kaka yangu, ni maandalizi amefanya in advance jaman
I like the car nasubiria tu ufunguo
uwiii nilikuwa nimelisahau hilo, asije kuniambia uongo mpnz acha nikutunzie kadiMimi sina tatizo mshiki, kikubwa zingatia sheria, (Usipokee ufunguo peke yake, akupe kabisa na kadi ya gari)
acha hayo mambo bhana, uniambie hii post ni ya mwaka jana nimeiona leo?Hii ahadi ni mwaka jana ujue, mbona sijaona hata alama za tairi mshiki oko.
hahahhahaaha msacha oko iyo ni nomaaaa kapsaaaa,Hahaha sheria yetu inakataza msacha kuingia chumba cha mshiki.
Chochote kitakachokupa furaha niko nyuma yako kukusapoti.
Mimi naishia sebleni tu, chumbani siruhusiwi.
awaona nawaona, mimi nipe kwanza kadi nianze kuzoea kuwa na gari my dearUmekiona hicho chuma hapo juu? Ndo zawad yako sasa yaan wenye wivu had watajinyonga
Hallelujahuwiii nilikuwa nimelisahau hilo, asije kuniambia uongo mpnz acha nikutunzie kadi
Kale ka safe ketu si bado kapo? tutatunza huko msacha oko mkunde
Labda siku izi nimepunguza mchicha labda tusaidiane kujua uzi ulianzishwa lini, au labda ni typing error.acha hayo mambo bhana, uniambie hii post ni ya mwaka jana nimeiona leo?
msacha acha kunidanganya kikubwa hivyo
teh teh
duuuh basi nimerukia kiunzi maana mbona hiyo dec ya mwaka jana sijaona hata ufunguo achilia mbali kadi? ngoja niangalie msacha oko mkundeLabda siku izi nimepunguza mchicha labda tusaidiane kujua uzi ulianzishwa lini, au labda ni typing error.
duuuh uko sawa, nimeamini yale maneno mwanamke akidanganywa ndo anafurahi...teh teh kumbe hapa danganya toto ilianza nov 2017Labda siku izi nimepunguza mchicha labda tusaidiane kujua uzi ulianzishwa lini, au labda ni typing error.
Hahaha labda alikusubiri hukutokea, akaamua akutunzie kwa ajili ya mwaka huu.duuuh basi nimerukia kiunzi maana mbona hiyo dec ya mwaka jana sijaona hata ufunguo achilia mbali kadi? ngoja niangalie msacha oko mkunde
duuuh uko sawa, nimeamini yale maneno mwanamke akidanganywa ndo anafurahi...teh teh kumbe hapa danganya toto ilianza nov 2017
looo Beira Boy y unidanganye hivi lakini?
Aje kuona venye unampanga hahaa!aje kufanya nini jaman? acha hizo
teh teh hujambo my dear? x of my love
Wacha weeh, kumbe na wewe unaijua International dialect.Otee mbee
Aje kuona venye unampanga hahaa!
Mie sijambo sijui wewe