Niko kwenye maandalizi ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu JJE'S


Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,204
Likes
14,522
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,204 14,522 280
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Niko kwenye maandaliz ya kuandaa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya baby wangu jjes

December 16 ndo ulizaliwa na ndo utaongeza na kutimiza miaka kazaa

Nakuombea hiyo tarehe ufike ukiwa salama na mzima wa afya jaman baby wangu jje's

Jiandae kupokea ufunguo wa BMW siku hiyo maana ndo zawad niliyokuandalia kipenz
tapatalk_1506802021707-jpeg.628111


LONDON BABY
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,204
Likes
14,522
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,204 14,522 280
Hilo hapo juu ndo gar utakalo pata
 
GREENER

GREENER

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
584
Likes
1,621
Points
180
GREENER

GREENER

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
584 1,621 180
Isije ikawa kama mambo ya dokta L. Shika, yono wanalia saiz, sasa na wewe usije mliza dada wa watu.

Ka nakuona utavomwambia " baby naona gari la BMW litapendeza zaidi "" hahahaaa, vyuma vimekaza bt wanaume mnajifanya hamtaki kuacha kujitutumua, mwenzio yuko central saiz anahesabu chawa.
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,204
Likes
14,522
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,204 14,522 280
Isije ikawa kama mambo ya dokta L. Shika, yono wanalia saiz, sasa na wewe usije mliza dada wa watu.

Ka nakuona utavomwambia " baby naona gari la BMW litapendeza zaidi "" hahahaaa, vyuma vimekaza bt wanaume mnajifanya hamtaki kuacha kujitutumua, mwenzio yuko central saiz anahesabu chawa.
Mkuu matajir kama mimi huwa hatupimwi kwa macho

Yeye mwenyewe anayajua mambo yangu
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
784
Likes
664
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
784 664 180
Mara ya mwisho.mkuu umemsaidia mtu mwenye uhitaji wa msaada wa kifedha kama mkopo, matibabu, lini
 
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
4,583
Likes
9,709
Points
280
Age
48
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
4,583 9,709 280
Yaani hata baada ya kuona mkoko uliaandaliwa kwa mshiki wako bado umeshindwa kutia neno kabisa? Au yule hunter keshakumalizia mahali nini?
Hahaha hapa kwa kweli sitii neno, ni bora baiskeli uliyonayo kuliko gari uliyoahidiwa
 

Forum statistics

Threads 1,251,189
Members 481,615
Posts 29,761,823