Niko kwenye Jeshi la akiba la wanajeshi wa Tanzania, Utaninyimaje haki ya uraia EX-POLICE wako?

ulikataa kutoka polisi hadi kuwa korokoroni lakini ukakubali kutoka kuwa polisi hadi kuwa mbeba maboksi.

hapo lazima utakuwa umetumia falsafa ya heri kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu afrika.
 
ila kaka point ipo.tumesha zoea kuwa mtu akija na hoja ni kumbeza tu
point kaka mnayo uraia wa nchi mbili unafaida zake,kipindi kile walikuwa wanakataa kwa sababu zake ila dunia kwa sasa imebadilika sana point unazo na katiba mpya iliangalie hili suala kwa umakini zaidi
 
Haujui ulisemalo,

Hata wanamgambo tu wanapewa mafunzo ya kivita, sembuse polisi?

Ulitaka nibaki polisi niwe fukara?

Nilikuwa nalipwa shs 7,250 wakati matumizi yangu yalikuwa shs 35,000, sasa hapo sijui mkate na siagi ungepatikana vipi?
sawa tumekusikia. Endelea kubeba hizo box hata siku yako ifike ufe huko uchomwe moto kwa kukosa dola 6000.
After all, hivi kweli wewe ufukara umekutoka kwa kuhamia huko ughaibuni? If yes, ni kipi kilichokupelekea hadi ukapora sadaka ya mjane na mayatima?
 
Haujui ulisemalo,

Hata wanamgambo tu wanapewa mafunzo ya kivita, sembuse polisi?

Ulitaka nibaki polisi niwe fukara?

Nilikuwa nalipwa shs 7,250 wakati matumizi yangu yalikuwa shs 35,000, sasa hapo sijui mkate na siagi ungepatikana vipi?


kaka lukosi nadhan tamaa uliiweka mbele kuliko uzalendo, kama uliingia polisi ukiwa graduate hope leo ungekuw mbal xn na ungekuwa unafaidi mema ya nchi,kuna pocblity kubwa leo ungekuw ocd, rco, staf ama rpc, sumtym tamaa mbaya xn, unayo hoja ya msingi kuhusu uraia na kwa hlo naunga mkono hoja
 
Hayo uliyoyasema kwenye nyekundu yanawezekana hapahapa, tena kwa kiwango cha juu kuliko huko kwa Maliberali. Kinachowapeleka watu huko ni ulimbukeni...
. Umekosea kusema watu kwani kila mtu ana nafasi na line zake hii ni kwa Chris pekee hata kuwa bilionea Tanzania inawezekana pia lakini kila mtu ana "opportunities" tofauti na kwa Chris alikuwa na opportunity huko uingereza kuliko bongo! Huwezi kuchanganya kila mtu tusingekuwa huku Hakuna facts za wingi wa watu!
 
ulikataa kutoka polisi hadi kuwa korokoroni lakini ukakubali kutoka kuwa polisi hadi kuwa mbeba maboksi.

hapo lazima utakuwa umetumia falsafa ya heri kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu afrika.
Una uhakika ninabeba maboksi???
 
Video zangu zote zipo mitandaoni na hotuba zangu ziko hapa JF

Hata siku moja sijawahi kutukana kiongozi yeyote kuanzia katibu kata mpaka Rais. N a hiyo ni moja ya sababu niliyohama chadema kwa sababu hamna siasa zaidi ya kutukana viongozi tu.

Really, ulisema umerudi CCM sababu ya ujenza wa barabara, je umeona yale madaraja yaliochukuliwa na mvua? Viwango vyake ni vya chini sana lakini pesa nyingi zimetumika. Sasa nikisema serikali ya CCM inaongoza kuua watanganyika, nitakuwa nimetukana?
 
Haujui ulisemalo,

Hata wanamgambo tu wanapewa mafunzo ya kivita, sembuse polisi?

Ulitaka nibaki polisi niwe fukara?

Nilikuwa nalipwa shs 7,250 wakati matumizi yangu yalikuwa shs 35,000, sasa hapo sijui mkate na siagi ungepatikana vipi?
polisi wengi mbona wanapiga kazi ya ukorokoroni baada ya kumaliza kulitumika geshi ra borisi?Kuna jmaa mmoja alistaafu trafiki Anaitwa Cherles Mt..yupo Ultimate sec.Alafu unsemaje SMG (AK 47)?SMG # AK 47 bana>hata watengenezaja /wavumbuzi wake mbona ni tofauti.Mimi pia kama mjuzi wa izo wakati ule hazikuwepo AK 47 bali zimeingizwa siku za karibuni sana watumiaji wakiwa ni Usalama wa T..Jwtz na Tanapa pekee.
 
huyu jamaa ana crisis ya kisaikolgia..sasa kwanini ahisi kuwa si raia km hajaukana?Kwanini CCM walipokuahidi future hawajukua mazingira yako ..sasa mbona unalia tena?Nchi uliyopo wanajua kuwa unajiandaa kuja pigania TZ? hizo tabia wanazo talibani tuu na wengine wenye asili za africa na asia.ndio hurudi kujifunza ugaidi..
 
Haujui ulisemalo,

Hata wanamgambo tu wanapewa mafunzo ya kivita, sembuse polisi?



Ulitaka nibaki polisi niwe fukara?


Nilikuwa nalipwa shs 7,250 wakati matumizi yangu yalikuwa shs 35,000, sasa hapo sijui mkate na siagi ungepatikana vipi?

Tatizo lako Chris Lukosi unaona kuwa ex soldier kama ni kitu very unique ambacho wanacho watu wachache kumbe tupo wengi na tumetulia tu.
Kwanza unasema uongo mwaka 2001 Basic salary ya police constable ( askari wa cheo cha chini kabisa) alikuwa analipwa Tsh 35700 ration allowance ya Tsh 16500 sasa wewe hizo figure umezipata wapi ? au ulikuwa jeshi gani
 
Last edited by a moderator:
Acha upuuzi wewe! Yani watu tunajadili mambo ya msingi kuhusu uraia wewe unaleta pumba zako kwenye huu uzi!

Kama huna la maana la kuchangia ni vyema ukae pembeni na uwe msomaji tu badala ya kuuchafua uzi kwa maoni yako yasiyo na tija.

wanaume wanapongea we binti kaa kimya unamtetea aje kula rambi rambi zetu tena atoroke nazo
 
Ndugu zanguni,

Leo nimeamka asubuhi na kuangalia kwa makini cheti changu cha kuhitimu mafunzo ya upolisi nilichokipata mwaka 1991 kule CCP moshi.

Katka mafunzo yote, mimi pia nilipitia field craft (mafunzo ya kivita) ambapo nilipewa ujuzi wa kuweza kupambana nikiwa mstari wa mbele hata pale risasi zikiniishia nilifundishwa namna ya kupambana nikiwa na singe tu. Pia nilijifunza kutumia silaha zote zilizokuwepo wakati huo kwenye majeshi ya Tanzania, kuanzia SAR, UZI, SMG(AK47), LMG, RPG, mpaka mizinga mikubwa kama recoiless na ile ivutwayo na magari.

Baada ya kumaliza mafunzo tulikula kiapo cha utii na uaminifu kwa wanajeshi wa Tanzania. Ambapo katika hicho kiapo tunaapa kuwa watiifu kwa amiri jeshi mkuu na kuilinda nchi yetu wakati wote na mahala popote wakati wote wa uhai wetu. Kwa kula kiapo hicho ina maana hata kama nimeacha kazi au nimestaafu, ikitokea dharura nitaitwa mara moja kazini...

Hii ni kuwajulisha tu kuwa kama Malawi au Rwanda wakileta za kuleta basi mimi nitakuwa mmoja kati ya wanajeshi wengi tu ambao wako reserve tutakaokwenda kuripoti mara moja kwenye kambi yoyote ya jeshi la wananchi iliyokaribu nami na kukabidhiwa Bunduki yangu, kombati, kibuyu cha maji na begi lililojaa basic needs za mwanajeshi akiwa front line.

Sasa leo unasikia watu wanatukejeli sisi Diaspora kuwa hatuna sababu ya kupewa haki ya uraia wakati wao hata hawajawahi kulifanyia lolote tafa lao zaidi ya kulihujumu kila kukicha.

Ningependa kuwauliza wale wote wanaotubeza na kutulaumu kwa nini tulichukua uraia mwingine, Mimi wakati niko bongo baada ya kuacha kazi jeshi la polisi ambalo lilikuwa linalipa mshahara duni miaka hiyo mlitaka nifanye kazi gani? Nilijaribu kutafuta kazi kila sehemu nikawa sipati kwa sababu sikuwa na ujuzi mwingine zaidi ya ujuzi wa kutumia silaha kali. Na kazi ambayo ningeweza kupata ilikuwa ni ulinzi tu kazi ambayo hata siku moja nisingeweza kuifanya, huwezi kutoka polisi ukaenda kuwa korokoroni hiyo ni kujidhalilisha.

KWA HIYO MLITAKA UJUZI WA KUBEBA BUNDUKI NIUTUMIE KWENYE UJAMBAZI AU?

Ni wakati sasa mtusikilize..

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=-KQ4zoyitWo#t=0

_44511344_d27792fe-178d-4b7b-98c4-b1c9d34c88f0.jpg

We mwongo tu. Usidhalilishe jeshi la polisi bure tu hapa. Ati SMG unasema ni AK47? Huzijui hizi silaha umezisoma tu kwenye hadithi za Willy Gamba sa unakuja kutafutia sifa hapa. Hii imebuma, tunga fiksi nyingine.
 
Tatizo lako Chris Lukosi unaona kuwa ex soldier kama ni kitu very unique ambacho wanacho watu wachache kumbe tupo wengi na tumetulia tu.
Kwanza unasema uongo mwaka 2001 Basic salary ya police constable ( askari wa cheo cha chini kabisa) alikuwa analipwa Tsh 35700 ration allowance ya Tsh 16500 sasa wewe hizo figure umezipata wapi ? au ulikuwa jeshi gani
1991 sio 2001 Mimi polisi wa zamani kijana E50..
 
Ndg. Lukusosi

nafurahi sana inapokubidi hata wakati mwingine kupiga mkwara, anyway raia yeyote ana powers of arrest, tena raia wa siku hizi wamepitiliza wanaitwa "wananchi wenye hasira" na kamata na kuhukumu
Mkuu kumbuka bado nina powers of arrest sawa tu na askari wengine.

Ukitaka kuthibitisha fanya uhalifu mbele yangu uone!
 
Usitake kujiweka kwenye level ya tpdf, wewe ulikuwa polisi na hizo silaha nzito za mizinga ulijifunzia wapi? especially hiyo mizinga uliyosema inavutwa na gari?
 
Back
Top Bottom