Niko Iwambi, Mbeya; naomba msaada wa kupata ajira

Angyelile99

Member
Oct 9, 2023
12
7
Jamani kama kunamtu anaweza nisaidia kuingia kwenye kampuni la Pepsi ama coca kufanya kazi yeyotee.

Naomba anisaidie.

Binafsi nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa.

Niko Mbeya Iwambi
 
Mkuu badili fikra mkuu kwenye hayo maviwanda ya soda utaenda kua CHEAP LABOUR
It's better izo nguvu na akili ukaitumia kutafuta maarifa yakukuwezesha kujiajir
Zingatia mkuu ogopa kua cheap labour utatumika kama toilet paper au magurudumu ya magari yakichoka yanatupwa yanawekwa mengine...
 
Nimeishi hapo mtaa wa mayombo kilimo cha huko bila mbolea ni sawa na hamna kitu.
Cheap labour ya pepsi sio kweli tafuta hata saidia fundi kama mvua zimekata mitaa ya majengo mapya kama sikosei.
 
Mkuu badili fikra mkuu kwenye hayo maviwanda ya soda utaenda kua CHEAP LABOUR
It's better izo nguvu na akili ukaitumia kutafuta maarifa yakukuwezesha kujiajir
Zingatia mkuu ogopa kua cheap labour utatumika kama toilet paper au magurudumu ya magari yakichoka yanatupwa yanawekwa mengine...
nahitaj hiyoo kazi ya cheap labour kwa namna yeyote make najua kwa qualification nlizo nazo kunamda nafik mbali to. but kwa kuanzia nahitaj hiyoo kaz ya cheap labour
 
........Kama ni kibarua nenda hapo plant omba kuonana na mhusika wa Vibarua atakusikiliza.
Sio rahisi hivyo mkuu, haya makampuni ya Pepsi na Coca km huna Connection kutoka ndani kwa HR na Maboss wa kampuni hupati sio rahisi hivyo tena km ni jinsia Ke ndio mtiti Bora angekua Me
 
Kibarua unapata chap ila kazi permanent ni mtihani kidogo.
 
Nakwambia kwamba hupati km Connection zero kupata tu utapata pale connection kutoka ndani ikikuwezesha upate, Sasa toka huko hujulikani hupewi kibarua
 
Vibarua hawahusiani na hao mabosi unawasema bro, kitu kama hujui bora uulize.

Hakuna connection yeyote inayohitajika upate kibarua, Ajira za vibarua hazitolewi na hao HR au mabosi unaowasema ni watu wengine kabisa wanahusika, usiwakatishe tamaa wenzako wanotaka kwenda kuomba.
 
Hujanielewa bado nimekwambia bila connection hupati hata ungesema unaenda kufagia getini pale ulipwe 2000 kwa siku huna connection hupati kitu
 
Dogo huna unachojua nakushauri usikatishe vijana wenzako wanaopambana tamaa, wewe endelea kulala nyumbani.
 
Unataka kibarua cha aina gani.? Udereva wa forklift, kupakia na kushusha mizigo,usafi au skilled casual. Jinsia yako pia ni muhimu maana kazi za vibarua zinaenda na jinsia. Baadhi ya kazi ni ngumu sana kwa wanawake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom