moonlightj12
Member
- Dec 6, 2022
- 33
- 90
Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani.
Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza kumuomba Mungu nife hata leo nipumzike, but ni vile nina jukum la kulea na kumlinda huyu kijana wangu. Basi niseme tu Mungu tusaidie, Mungu tukumbuke.
Nyie mi nimechoka kuwa jasiri.