R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 281
- 563
- Thread starter
- #41
Hiyo aya ya juu ni kweli kabisa wanaume tumenyooka sana kwenye ishu ya kubebana hatuna nongwa Wala masimango, haijalishi lini utapata huwa tunaamini once mtu anapambana Kuna siku mambo yatajipaKwa jamaa hafugwi wala kulelewa hapo anapambana wanaume huwaga hatuna masimango kama wanawake.
Kuna kipindi jamaa angu aliona kwao wanamtumia tu anauza duka la kaka ake bila future yoyote, akaja magetoni tukawa tunachill wote tunapika na kula kipindi hicho mm napiga kitabu chuo, alikuwa akijishughulisha na mbaga za uwakala hadi akapata pa kushikia na akapanga geto lake mwanzoni nilikuwa nikimbust na boom langu lakin akajichanga akawa na kwake
Huyo jamaa aache mbaga za kuajiriwa na kujitolea, mtaani pesa ipo kuanza ni kugumu ila ukishazoea mwaka unaweza usifike unamiliki geto na mazaga mengine mjini hapa. Hapo sasa hata akimuita mzazi mwenzie atakuwa kifua mbele kuliko akaenda kutegemea mshahara wa uyo manzi ataletewa michepuko hadi usiku wa manane na asiweze kusema chochote
Kuhusu kuniletea wanaume hawezi hata kidogo HAWEZI ila kuhusu dharau kwa mwanamke hakuepukiki Saivi anavyoongea kila kitu yes kanyooka sana, pengine sababu nipo mbali au hatujakutana siku nyingi na hiyo tu pekee ake ndo inanifanya ntafakari kabla sijafanya maamuzi. Wanawake wa kanda ya ziwa hawana makandokando sana kwa experience yangu mpaka saivi