Niko Dilemma

Unapopenda hupendwi usipopenda wapendwa hahahahahaha world not fair
 
Tafuta unaempenda,huyo mzushi wa kwanza,huna mapenzi nae,acha kumpotezea muda,tafuta mtu anaekusumbua akili, au data na huyo rafiki.
 
Wewe hupendi ila unatamaa tu.Na huyo jamaa wa pili unamtani tu sio kumpenda.Ukitaka kujua meli inazamje penda usipopendwa
 
OVYO!
 
Mie wala sielewei dilema iko wapi, hjatulia!! iweje mtu humpendi bado kila siku wamfunulia papuchi?? wacha kabisa. mtangazie kuwa no au la ingia tu !!
 
Ukienda huko walaiiii utajuta na utarudi na mrejesho wa kumiminwa...
 
Katika uzoefu wako wa dyudyu ushawahi kusukumwa kinyesi? yaani kuguswa njia ya kutolea upepo.
 
Rusha roho taratibu hiyo shoga
Angalia usijekuwa story
Usijekuwa mfano
Usijekuwa tukio bidada
Penda unapopendwa utulizane....
asavali yako wewe rubii u dont care
 
Mpende akupendae ila kwa nyie wadada mnapenda anaewataka hapo sasa ndio kazi.

Csta kwa ushauri wangu shikiria ulipo ila ukipaacha kulingana na maelezo yake ataumia sana kwa muda kiasi na atakuwa akikukumbuka Mara kwa Mara lakini wewe utafurahisha moyo na mihemuko yako kwa muda na baadae utajutia muda mrefu na kuumia sana wakati huo nafasi itakuwa tiali ina mtu mwingine.

So ushauri wangu olewa na huyo anaekupenda kwani unaempenda utakuta nae ana mtu wake anaempenda, usijetengeneza mtihani kama mwanzo
 
Usitumie moyo kwenye selection tumia facts ,,, "KUPENDWA RAHA"
 
Umesema bado upo kwenye maombi,,,omba tu,,,we omba tu,,,Mungu atakuja kukujibu,,,yote ni majaribu ya shetani ,,nakukumbusha,,endelea tu kuomba
 
..mpendane.. sio iwe upande mmoja haitachukua round ''PWAAAAAAA''
haha yani kila ushauri umelenga kujihami. watu wanaumizwa sana sasa inaonekana mapenzi ni kujilinda na kuumizwa.

kwani huko duniani hamna watu "wanaopendana"??
 
Siamini katika kila jambo kukubaliwa na kila mmoja. Kwako mimi ni ovyo ila wenye uzoefu nadhani watajua kuwa siyo ovyo. Kwa faida yako, zamani ndiyo maana tulitafutiwa wachumba na mwanaume uliulizwa kama unampenda. Upendo kwa upande wa mwanamke huja baadaye. Vivyo hivyo hata doa za mkeka huwa ni hivyo hivyo. Usiku mwanana kwako
 
..mpendane.. sio iwe upande mmoja haitachukua round ''PWAAAAAAA''
fata maandiko, ndo maana mahusiano mengi huwa hayachukui muda mshatengana inatakiwa mwanaume akupende mwanamke atii...moyo wa mwanamke kujifunza kupenda n rahisi km mwanaume kapenda kwa dhati na si the other way round...i hope u got my point kwa kifupi
 

POLE SANA DADA....HAPA WALA SIO PAGUMU. THE FIRST ONE IS A SEXMATE...PURE AND SIMPLE. ULIKUBALI KUINGIA KWENYE MAHUSANO NAE KWA AJILI YA MGEGEDO NOTHING MORE NA NIKUPONGEZE KWA KUMWAMBIA UKWELI TOKA MWANZO. SASA KAMA YEYE KAFALLING INLOVE HILO NI KOSA LAKE MAANA TERMS AND CONDITIONS ALIZIJUAGA TOKA MWANZO.

HUNA SHIDA YA KUSEMA OH SUBIRI NIJIRIDHISHE WALA NINI...ENDELEA KUWA MKWELI MWAMBIE LISTEN NILIKWAMBIA NATAKA TUWE TWAGEGEDANA NOT A SERIOUS RELATIONSHIP.

HUYO WA PILI WEE MBWAGE HUYU WA KWANZA ENDELEZA MGEGEDO NA KIJANA...CHA MSINGI UNAKUWA MKWELI KWAKE PIA KUWA KUJANA HAPA TWAGEGEDANA TUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…